Kwanini tunauza mechi?

Magoya2000

JF-Expert Member
May 7, 2017
575
1,131
Habari wapendwa,

Poleni na miangaiko ya hapa na pale!

Leo nimeona tushirikiane kwenye hii mada ya kuuza mechi!

Naamini wahenga wanaelewa nini namaanisha. Nimejaribu kupita sehemu mbalimbali na tofauti katika kujivinjari na hii jinsia tofauti na sisi wa kiumeni.

Ukweli tatizo linalotukabili mpaka tunauza mechi ni hili la kujifanya wewe ni rijali na unasimama kwenye game vizuri.

Ukweli ni kwamba ukichukua machine na kupiga bao mbili na protector Mara nyingi mtu huwezi kwenda zaidi ya tatu.Hivyo ili tujione vidume tunaamua kuuza mechi ili kukamilisha idadi ya nne au tano.

Rai yangu tusiuze mechi maana tunajihatarisha ni bora kubaki mbili au tatu safe kuliko kuuza mechi upate tano.

UKIMWI upo! Be careful my friend!
 
Habari wapendwa! Poleni na miangaiko ya hapa na pale! Leo nimeona tushirikiane kwenye hii mada ya kuuza mechi! Naamini wahenga wanaelewa nini namaanisha. Nimejaribu kupita sehemu mbalimbali na tofauti katika kujivinjari na hii jinsia tofauti na sisi wa kiumeni. Ukweli tatizo linalotukabili mpaka tunauza mechi ni hili la kujifanya wewe ni lijali na unasimama kwenye game vizuri. Ukweli ni kwamba ukichukua machine na kupiga bao mbili na protector Mara nyingi mtu huwezi kwenda zaidi ya tatu. Hivyo ili tujione vidume tunaamua kuuza mechi ili kukamilisha idadi ya nne au tano. Rahi yangu tusiuze mechi maana tunajihatarisha ni bora kubaki mbili au tatu safe kuliko kuuza mechi upate tano. Ukimwi upo! Be careful my friend!!
Hilo kweli mkuu
 
Kama kidume ni kidume tu na kama ni kwa ajili ya kupewa sifa utapewa tu ikiwa mwenza wako umemfikisha panapotakiwa. Unaweza piga bao nyingi cha zaidi ukamwachia mwenza wako maumivu na bado kiu chake pia usikimalize.

Hivyo wacheni kuuza hizo mnazoita mechi eti kisa upige mabao mengi kwa sababu magonjwa yapo na sio ukimwi pekee.
 
Kumbuka mwanamke pia anahusika katika kujifikisha..ila kuuza mechi risk sana sema..kumwaga ndani kuna raha ya ajabu..
 
nilikuwa muuzaji mzuri sana wa mechi, addicted! ila kwa sasa bhaaas!
 
Kama kidume ni kidume tu na kama ni kwa ajili ya kupewa sifa utapewa tu ikiwa mwenza wako umemfikisha panapotakiwa. Unaweza piga bao nyingi cha zaidi ukamwachia mwenza wako maumivu na bado kiu chake pia usikimalize.

Hivyo wacheni kuuza hizo mnazoita mechi eti kisa upige mabao mengi kwa sababu magonjwa yapo na sio ukimwi pekee.
CHUKUA PEPSI NAKUJA KULIPA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom