Hivi inakuwaje mwanamke unakubali kuwa na lofa?

ramona

Senior Member
Apr 3, 2017
174
264
Mwanaume hana hela wamgandaaa tu mwanaume amepanga vyumba viwili eti wakubali kuolewa naye baada ya siku mbili waanza pita kwa mashosti kukopa kwani wenzako waliokuwa wanamkataa huyo bwana walikuwa wajinga.

Mwanamke tumia uanamke wako shosti tafuta bwana mwenye hela ule maisha duniani maisha yenyewe mafupi hujui mbinguni utaishi vipi, tufuta dume lenye hela sasa wewe watafuta kajamba nani mwisho wa siku wanuka uvundo wazeeka kabla umri wako mwanaume mwenye ela ana raha bwana wanaume wasiokuwa na hela waachie sabuni ndo wake zao hao.
 
mwanaume hana ela unamganda tu mwanaumeamepanga chumba viwili eti unakubali kuolewa nae baada ya siku mbili waanza pita kwa mashosti kukopa kwan wenzako waliokuwa wamkataa huyo bwana walikuwa wajinga. mwanamke tumia uanamke wako shosti tafuta bwana mwenye ela ule maisha duniani maisha yenyewe mafupi hujui mbinguni utaishi vipi tufuta dume lenye ela sa we unatafuta kajamba nani mwishowa siku unanuka uvundo wazeeka kabla umri wako mwanaume mwenye ela ana raha bwana wanaume wasiokuwa na ela wachie sabuni ndo wake zao ao
Kwa akili yako ilivyo ikabidi nikucheki
Joined JF April 2017
Followers 0
Following 0
Likes received 0
Trophy points 0
 
56990070681e12ad25ee596c61c8fb76.jpg

Karibu mgeni
 
No 1 has ever climbed a coconut tree from the top... it all starts from bottom.

Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mtu kipindi cha raha huku unareflect back mlipotoka. Unakumbuka enzi mume anatoka alfajiri saa 11 anarudu usiku saa3 na excuse kibao, hela hana mnakunywa uji mnalala.

Salute to all REAL women who date hustlers. Mwanaume 'shujaa' ni yule asiye na ujanja ujanja kama baxhite, maisha hayajawahi kuwa na shortcut, na mwanamke 'shujaa' ni yule anayeweza kumSpot mwanaume 'shujaa'.
 
Back
Top Bottom