Salama
Mama wa miaka 40+ kuonyesha kunitaka kimapenzi, ana watoto 5 wakubwa , mtoto wake wa kwanza ana 22, ana Mme wake wa ndoa anaishi naye na wana maisha ya uchumi wa kati na ana biashara...
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu.
Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na...
Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga...
Habari gani kwenu wakuu? Najua mapambano bado yanaendelea, hakuna kukata tamaa..
Kuna uzi niliwahi kushare humu kuhusu huyu mwanamke wangu kuwa na tabia ya kushare mambo yetu ya faragha kwa...
Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda
Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni...
Wale haters naona wamepungua kwa posts na nyuzi zangu
Sikutaka kuwa napost haya! Ila wale wajinga waliosema nakaa kwa shemeji nikasema anhaa hadi wakimbie nyuzi zangu
Ila hao wanaoyakataa sijui wana matatizo gani.maana mimi saiv najiandaa kutoka out na kipenzi changu pinayah
mtoto huyu wa kihindi ananikubali sana tupo naye hapa dar nilimtoa marekani.nikamwomba...
Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO.
Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka...
Nikisema Nikuahidi Mbwembwe Za G.S.M wa Katoro Ntakudanganya Mimi Na Uongo Hatukai Zizi Moja,
Mimi Ni Mwembamba Wa Mwili ila Mnene Wa Mahaba Nakuahidi Bima Ya Amani Moyoni Na kifurushi Cha...
Huyu demu wanamuita shuu saloon, ni brand kubwa mjini anavo jiita yeye, sasa huyu manzi alipata ujauzito akajifingua, akadai baba wa MTOTO ni mwarabu wa Dubai mfanya biashara.
Hatujaa kaa...
KWEMA WANAJUKWAA.
Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli.
Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni...
Kwa mda mrefu nimeishi katika maisha ya kuunga unga sana chumba kimoja zile nyumba za kupanga za mabehewa ya train yaani mnakuta milango yote imejipanga ivi kama mabehewa.
Ilikuwa ngum kuleta...
Nimeoa single maza sasa kuna huyu mtoto wake mpaka imefikia sehemu ananiogopa kunikumbatia na kunishika mkono. Maana anapigwa shoti. Wadau nini sababu ya hili.
Karibuni
Habari za leo.
Niko na hali mbaya kiuchumi,na msaada pekee ninaouona ni mchepuko wangu ndio naona anaweza kunipiga tafu,huyu maza alikua mke wa mtu akaachika so mimi nikawa najipigia...
Na hapo ndipo wanaume wengi wamekua watumwa, wafujaji wa Mali na Pesa, wamekua watu wa ovyo ovyo.
Ukweli ni Kwamba kwenye Ngono, Kitaalam wanawake hupata Raha sana kuliko hata wanaume.
Mwanamke...
Habari za asubuhi wana MMU.
Niende kwenye mada. Huwa napita sana humu kwenye nyuzi na kugundua kuwa wengi walioko humu ni Gen Z. Hii ni kutokana na mada zao wanazoanzisha, au kwa namna...