Wanaume wenzangu nahitaji msaada, ni muda sasa nahisi kama performance yangu kwa bed kwa kweli sio nzuri.
Haswa ikizingatiwa mimi bado kijana halafu kwa shot nnazopiga naona kabisa hata mzee wa...
Kama kichwa cha habari hapo juu.unakutana na msichana sio choka mbaya kivile kama sio mfanya kazi atakua na biashara yake.au aunaishi kwao mzee wake maisha mazuri tu.nimekutana na wakwza baby yake...
Heshima kwenu mabibi na mabwana
Nimezaliwa nimekuta wanasema mapenzi ni uchafu, sawa
wengine wanadai mapenzi ni uchizi, sawa
wanaenda mbali zaidi kudai mapenzi ni upofu nk
Misemo yte hii...
Jambo la muhimu katika kuchagua mpenzi wako ama awe katika mahusiano au mwezi wako wa ndoa ni lazima/muhimu mkajuana na kutambuana tabia zenu na hatimae kuridhiana na kuingia kwenye mahusiano...
Wakuu salaam,baada ya hapo naomba niende kwenye mada leo hii asubuh nilikuwa ghetto kwangu napumzika nilipigiwa simu na kaka niende nyumbani kwake anamaongezi nami.Nilienda nilipofka nilikuta kaka...
Habari zenu,
Katika mapenzi, kuna kuchokana sababu ya kuonana mara kwa mara na pia hata kuingiliana watu huchokana, hufikia mahali THEY HAVE TO GO THROUGH THE MOTIONS.
Hivyo tuwe wabunifu...
Habar wana MMU
Kiukweli mm huwa sipend maswali yafuatayo kwa sababu sjui yana umuhimu gani ktk pendo labda leo nitapata Majibu.
Alafu majibu yake mengi huwa ya uongo baadae unaumbuka mm sitak...
"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninayelingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaa.
Mimi nina...
Kwa mujibu wa Irene, wanaume wenye sura mbaya ndio ambao huamsha zaidi hisia zake za kimapenzi! Strange, lakini ndio ukweli wake. Muigizaji huyo ambaye ameandaa event maalum kwaajili ya...
Habari wakuu,
Ilianza kunitokea siku nyinyi tu, ila sasa imezidi, wakati nipo primary hadi sekondari mabinti walitokea kunipenda sana na kunikubali sana. Hadi inafikia muda anakutamkia waziwazi...
Nimeinyaka hiyo leo kutoka kwa mishangingi iliyokua inafanya kikao chao cha kitchen part hapa kwenye kibaraza changu.
Wanadai wanaume wabaya wahajui kulinga chumvin wanazama bila ubishi na...
Habari za jumapili.
Bikra ni alama ya usafi na uaminifu kwa mwanamke. Ni dalili ya kujitunza na kujizuia na tamaa za mwili. Hapo zamani mwanamke asiye na bikra alikuwa hawezi kuolewa.
Na Mara...
Wanaume wote waliowai pita (ku sex) na wanawake wa kichina ,kiarabu and the same like whitish girls ,, piteni hapa japo muelezee namna hizo game zilivyokuwa na jinsi ya...
Habari Wakuu.
Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na miezi kadhaa sasa.
Mimi nipo Dar ila yeye anaishi kwao mkoani, alikuja kunitembelea/kunisalimia huku...
Nina rafiki yangu wa kike ambaye tumeshibana sana kiasi ambacho ananishirikisha hadi mambo yake ya kimahusiano. Hivi karibuni amenieleza yanayomsibu/anayopitia kwa sasa.
Ameanza kwa kunieleza...
Nawasalimu,Salamu !
Ni kawaid kwa wazee wa kilaji kuingia baa mara paap kamoyo kanamtunuku baamedi janja yao huwa anakwambia anatoka saa sita sasa kwa hesabu ya biamoja kwa dakika 20 kama...
Binafsi naona hasa kwenye masuala ya mapenzi kua mkweli kwa kila kitu unaonekana huna maana.Mimi lazima nimdanganye mwanamke nishajifunza wewe akikuambia nataka simu hata kama huna uwezo wa...
Mwanajeshi wa Kimarekani achapiwa na michepuko 60 hadi kumzalisha mkewe.
Being cheated on is perhaps the most devastating feeling ever. You can drown in self-pity, blame yourself, blame your...