Wanaume tuwadanganye sana wanawake


madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
574
Likes
461
Points
80
madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
574 461 80
Binafsi naona hasa kwenye masuala ya mapenzi kua mkweli kwa kila kitu unaonekana huna maana.Mimi lazima nimdanganye mwanamke nishajifunza wewe akikuambia nataka simu hata kama huna uwezo wa kununua mwambie utapata.

My dear nataka gari mwambie mwaka huu hauishi utapata, nataka Kiwanja mwambie namchongo wangu wa pesa ukikamilika tu utapata mama. Ukweli mimi nadanganya sana na miaka inaenda tu tuko pamoja.

Mungu alicho wajalia wanawake huwa wepesi saana wa kusahau akikukomaliaa jambo mwezi mwingi kasahau anaanzisha jingine.

Maisha hapo yanasonga tuu, mimi shemeji yenu nishamuahidi mpaka ndege huu mwaka wa nane sasa yupo tu. Jamani wanaume ili maisha yaende tuwadanganye sana wanawake zetu japo sio kwa kila kitu.

Kama kunajambo anataka na unauwezo nalo fanya kama huna uwezo nalo mwambie nitafanya wewe akitaka gari wakati hata we boxer huna mwambie mwaka hauishi utapata jamani hapo Mungu alitupendelea sana sisi wanaume hawa viumbe kua chini yetu.

Sipati picha kama tungekua chini yao tunge nyanyasika sana, hebu wanaume tunyanyue mikono juu kushukuru Mungu. Haya kwa pamoja tuseme hapo tulipo wanaume hoyeee tuitike kwa pamoja oyeee mwisho jamani naombeni wanaume popote tulipo tuwadanganye sana wanawake ili maisha yaendelee.
 
demi

demi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
12,163
Likes
22,550
Points
280
demi

demi

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
12,163 22,550 280
Na nyie mnadanganywa kisawasawa..teh
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,519
Likes
16,708
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,519 16,708 280
Binafc naona hasa kwenye masuala ya mapenzi kua mkweli kwa kila kitu unaonekana huna maana.Mimi lazima nimdanganye mwanamke nishajifunza wewe akikuambia nataka cm hata kama huna uwezo wa kununua mwambie utapata

My dear nataka gari mwambie mwaka huu hauishi utapata .nataka Kiwanja mwambie namchongo wangu wa pesa ukikamilika tu utapata mama.ukweli mi nadanganya saana.na miaka inaenda tu tuko pamoja.Mungu alicho wajaalia wanawake huwa wepesi saana wa kusahau akikukomaliaa jambo mwezi mwingi kasahau.anaanzisha jingine. Maisha hapo yanasonga tuuu.mi Shemeji yenu nishamuahidi mpaka ndege huu mwaka wa nane sasa yupo tu.
Jaman wanaume ili maisha yaende tuwadanganye saaaaana wanawake zetu japo sio kwa kila kitu. Kama kunajambo anataka na unauwezo nalo fanya kama huna uwezo nalo mwambie ntafanya we akitaka gari wakati hata we boxe huna mwambie mwaka hauishi utapataaa.jaman hapo Mungu alitupendelea saana sisi wanaume Hawa viumbe kua chini yetu


Cpati picha kama tungekua chini yao tunge nyanyasika saaana.hebu wanaume tunyanyue mikono juu kushukuru Mungu.haya kwa pamoja tuseme hapo tulipo wanaume hoyeeeeeeeeeeeeeeee tuitike kwa pamoja oyeeeeeeeee mwisho jaman naombeni wanaume popote tulipo tuwadanganye saaaaana wanawake ili maisha yaendeleee.
SiSI TUNAWADANGANYA ILA WAO WANATUAMBIA UONGO.

Kudanganya: oooh baby, leo nimechoka kweli, nilikuwa job ndo maana nimechelewa kurudi. (Hapa kumbe ulikuwa kwa mchepuko wake).

Kusema uongo: baby huyu kichanga anafanana sana na wewe, ebu mcheki macho yake yaani kama yako. ( Kumbe ni mtoto wa mwanaume mwingine na yeye anajua). 
madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
574
Likes
461
Points
80
madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
574 461 80
Subiri siku yakukute
Thubutu sasa mi mwanamke atanidanganya kwa lipi labda akagongwe nje na hapo sio kunidanganya Bali huo ni usaliti mi nimesema tuwadanganyeni saaana nyie kama ww ulivyo mzur sema nikununulie nini mamaa
 
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,024
Likes
1,157
Points
280
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,024 1,157 280
Dadeq me siwezi danganya kama hutak ukweli just follow your path
 
demi

demi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
12,163
Likes
22,550
Points
280
demi

demi

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
12,163 22,550 280
Thubutu sasa mi mwanamke atanidanganya kwa lipi labda akagongwe nje na hapo sio kunidanganya Bali huo ni usaliti mi nimesema tuwadanganyeni saaana nyie kama ww ulivyo mzur sema nikununulie nini mamaa
Huna ubavu wa kuninunulia hata pipi. Sikuhizi hatuwategemei tena, utawadanyanya vitoto vya chuo mkuu. Not me muhenga!
 
madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
574
Likes
461
Points
80
madindigwa

madindigwa

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
574 461 80
Huna ubavu wa kuninunulia hata pipi. Sikuhizi hatuwategemei tena, utawadanyanya vitoto vya chuo mkuu. Not me muhenga!
Hahahahaha we mama njo nikupe rahaaaa
 

Forum statistics

Threads 1,250,443
Members 481,342
Posts 29,733,174