Tatizo la kushindwa kutambua, kuficha madhaifu ya Mpenzi wako. Nini hatima yake!?

Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
27,594
Likes
70,930
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
27,594 70,930 280
Jambo la muhimu katika kuchagua mpenzi wako ama awe katika mahusiano au mwezi wako wa ndoa ni lazima/muhimu mkajuana na kutambuana tabia zenu na hatimae kuridhiana na kuingia kwenye mahusiano.

Mnaweza kudumu katika mahusiano kwa muda fulani lengo likiwa ni kuzoeana na kutambuana hizo sifa ambazo kila mmoja anataka mwezi wake awe nazo hasa mwenendo kitabia.

Kumeibuka na mtindo wa kuonesha tabia kwa mpenzi wako ambazo sio tabia halisi ulizo nazo lengo au nia yako ikiwa ni kumvutia huyo mpenzi wako ili aendelee kuwa nawe ilihali hizo tabia sio halisi.

Wengine wanaweza kuwa wawazi na kuonesha tabia zao halisi lakini ikawa ni vigumu wao kutambua madhaifu ya kila mmoja akidhani hana madhaifu.

Siku wakiingia kwenye ndoa ghafla tabia ambazo kila mmoja alikuwa nazo na wakaaminiana kipindi cha mahusianao zinaanza kuonekana zikitoweka na kuibuka tabia zingine mpya ambazo ni kikwazo katika ndoa.

Nini kifanyike kwa wapenzi wakiwa kwenye mahusiano wakitarajia baadae wawe wana ndoa ili kuonesha tabia ambazo ni za kweli wakati wa mahusiano na wakiwa kwenye ndoa, na pia ni mbinu gani itumike kutambua madhaifu ya mpenzi wako pale unaposhindwa kuyatambua na wakati akijaribu kuyaficha hayo madhaifu yake.
 
Bacyclerbacy

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Messages
1,644
Likes
2,760
Points
280
Bacyclerbacy

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2016
1,644 2,760 280
Mwenyez Mungu atusaidie tu tufanye chaguo sahihi maana hapana aisee unaweza kujiona ww umekamilika ukamuacha mwenzako kumbe ww ndo hujakamilika
Sijui Kwann binaadam hatujikubali,cjui kwann tunapenda uongo wa kupindukia

Sidhani kama kuna aliye ingia kwenye ndoa bila misukosuko lkn uvumilivu unaanzia hapo tunashindwa kuvumiliana tunashindwa kukubali kwamba hakuna mkamilifu,tunashindwa kuwa wakweli mh aisee
Nitakuwa mkweli always hata mtu akiniacha fine ila nafsi yangu ipo huru cjamdanganya kitu nitaumia tu labda amenipotezea mda lkn sio kwasababu ya ukweli wangu NO

Be You banaa kama mtu hakukubali jinsi ulivyo bac
 
Chris14

Chris14

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2017
Messages
3,140
Likes
2,118
Points
280
Chris14

Chris14

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2017
3,140 2,118 280
Uchumba uwe na muda mrefu kiasi. Sio wa miezi miwili mitatu kisha ndoa. Uchumba wa muda mfupi sana una muda mdogo sana wa kufahamiana kwa undani hasa ktk kipindi hiki cha ubusy wa kusaka tonge mnakuwa mnakutana mara mojamoja kitu ambacho ni rahisi kuficha madhaifu.
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
27,594
Likes
70,930
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
27,594 70,930 280
Uchumba uwe na muda mrefu kiasi. Sio wa miezi miwili mitatu kisha ndoa. Uchumba wa muda mfupi sana una muda mdogo sana wa kufahamiana kwa undani hasa ktk kipindi hiki cha ubusy wa kusaka tonge mnakuwa mnakutana mara mojamoja kitu ambacho ni rahisi kuficha madhaifu.
Uko sahihi mkuu
 
B

Bacary Superior

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Messages
3,654
Likes
1,383
Points
280
B

Bacary Superior

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2014
3,654 1,383 280
Lazima tudanganyane bhana
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
27,594
Likes
70,930
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
27,594 70,930 280
Mke mwema na mume mwema hutoka kwa bwana kwa akili zetu hatuwezi
Sawa, lakini juhudi inahitajika katika kumpata huyo mwenzi mwema ambapo vigezo mbalimbali vinazingatiwa.

Sasa changamoto ni kuwa na vitu vinavyokwamisha hilo suala la kutafuta huo mwenzi wako.
Sasa ni namna gani tunaweza kuvikwepa au kujiepusha kabisa na hivi vikwazo ili kuweza kufanikiwa vizuri katika hili jambo
 
conor

conor

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Messages
236
Likes
291
Points
80
conor

conor

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2017
236 291 80
Mwenyez Mungu atusaidie tu tufanye chaguo sahihi maana hapana aisee unaweza kujiona ww umekamilika ukamuacha mwenzako kumbe ww ndo hujakamilika
Sijui Kwann binaadam hatujikubali,cjui kwann tunapenda uongo wa kupindukia

Sidhani kama kuna aliye ingia kwenye ndoa bila misukosuko lkn uvumilivu unaanzia hapo tunashindwa kuvumiliana tunashindwa kukubali kwamba hakuna mkamilifu,tunashindwa kuwa wakweli mh aisee
Nitakuwa mkweli always hata mtu akiniacha fine ila nafsi yangu ipo huru cjamdanganya kitu nitaumia tu labda amenipotezea mda lkn sio kwasababu ya ukweli wangu NO

Be You banaa kama mtu hakukubali jinsi ulivyo bac
Njoo nikuokolee muda wako
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,365
Likes
2,007
Points
280
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,365 2,007 280
Igiza vitu vyote lakini sio tabia, siku zote changamoto kwenye ndoa huanza pale kunapokuwa na gap kubwa la Tabia kipindi mpo kwenye mahusiano na Maisha halisi ya Ndoa.., hivyo ni bora rangi zenu halisi mzioneshe kipindi cha mahusiano ili muwekane sawa huko huko hatimae maisha ya ndoa changamoto zitakuwa za kawaida tu!!!
 
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
35,660
Likes
103,560
Points
280
Age
30
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
35,660 103,560 280
Tabia ya mtu haijifichi kamwe... Ukijagundua too late mvumiliane tu hamna mkamilifu ila tunatofautiana viwango tuu.
 
Forum statistics

Threads 1,213,861
Members 462,337
Posts 28,493,153