kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,827
Kama kichwa cha habari hapo juu.unakutana na msichana sio choka mbaya kivile kama sio mfanya kazi atakua na biashara yake.au aunaishi kwao mzee wake maisha mazuri tu.nimekutana na wakwza baby yake yupo sehume ata muonekano wa familia wako njema huyu ni jirani hapa kwangu.kila siku utasika sijala unamtumia pesa ikawa taabu pale anapokuja home asubuhi ukimuacha utakuta kabeba sukari mafuta ya kula mchele.nikaona hili balaa sijakaa vizuri akawa anawatuma wadogo zake asubuhi kachukueni pesa kwa shemeji yenu.nikakaa siku 1 nikamuita home nikamwambia kuanzia leo sikutaki maana unanjaa kali.nikaachana nae.nika tafuta chaka lingine ili ndio duh liko hapa karikoo lina duka la vipodozi huyu ndio afai .kwa nini mnakua njaa kali huku dar.alafu mtaka kuolewa shubamiti sio kama hivi.huyu sasa ukianda kwake anaweza akakuambia bora umefkia nadaiwa pesa ya umeme mara bili ya maji.nikamwambia uje kwangu uishi.dah alikaa week 2 lkn nikaona tabia za mademu zinafanana jioni akitoka kazini utakuta kaja na mashoga zake ata 6.unakosa ata kupumzika..sas kwa njia hii ndoa mtaisikia.shuba miti