Asali inavyotia mshawasha kwenye foreplay


barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,523
Likes
16,668
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,523 16,668 280
Habari zenu,

Katika mapenzi, kuna kuchokana sababu ya kuonana mara kwa mara na pia hata kuingiliana watu huchokana, hufikia mahali THEY HAVE TO GO THROUGH THE MOTIONS.

Hivyo tuwe wabunifu kufanya mambo yasiwe ya kuchosha na yawe mapya kila siku.
Hivyo kuongeza mahaba kabla ya foreplay, tumia asali.

Nendeni mkaoge wote, take your time! Kisha futaneni na taulo. Mkifika kitandani, baada ya kiss and hugging kadhaa, mmiminie asali mwenza wako akiwa amelala mtupu. Mimina popote katika mwili wake, kuanzia katika lips shuka chini unapita karibu na kwapa pande zote kisha mimina kupita katika chuchu unashuka hadi kitovuni mapajani, IKULU hadi miguuni kwenye toes.

Baada ya hapo anza lamba hiyo asali taaaaratibu, tumia hata dk 30-40 kutoka miguuni ukipanda juu!! Mwanamke hapo lazima atayeyuka by the time unamaliza kulamba hiyo asali. Wanawake pia wanaweza paka kwa wenza wao wa kiume na kiulamba hiyo asali.

I did it and it blew her mind away, so give it a try if you can!

NOTE: Mambo haya ni vizuri kufanya kwa mkeo au mwenza wako wa kuishi nae, sio kwa "vicheche".
 
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
1,019
Likes
987
Points
280
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
1,019 987 280
Kumbe...
 
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
24,839
Likes
63,951
Points
280
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
24,839 63,951 280
Mmh. Mapenzi ya kulambana lambana tena. Duuh.

Ila mapenzi ni kitu kingine bana unaweza andaa hiyo asali ila ukafika muda wa ile shughuli hata nafasi wa kumwagiana hiyo asali isipatikane kwa sababu kila mtu ana mhemuko wake na kuna mwingine mpaka uanze kumtuliza eti umwagie asali mmh.

Hapo unaweza kuta kashahama kabisa yaani hayupooo.
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
6,924
Likes
8,724
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
6,924 8,724 280
kila mtu ana mhemuko wake na kuna mwingine mpaka uanze kumtuliza eti umwagie asali mmh.
Wewe Emmyta.....uzoefu wako umetukuka:D
 
N

ngurumoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Messages
585
Likes
288
Points
80
Age
43
N

ngurumoo

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2016
585 288 80
Kuna haja ya Serikali kupitia Wizara ya Afya kulinda wananchi wake wasi Tapeliwe
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,159
Likes
827
Points
280
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,159 827 280
Hivi mkuuu ushaanzisha viwanda vingap vya kuchakata asali.......maana wanaume wa dar watatumalizia asali madukan......uku mashamban hatunaga hizo asali ni kwa ajili ya mtu alie ungua na maji moto au moto........
 
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
24,839
Likes
63,951
Points
280
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
24,839 63,951 280
Kila mtu ana xyz. Kuna mwingine hatuliziki...
Kweli kabisa mkuu. Yaani ukilazimisha sana kumtuliza basi utakuta ameshakuacha tayari mawazo yamehamia kwenye ugumu wa maisha.

Hivyo zoezi inabidi lisitishwe tena mpaka wakati mwingine. Hahahahahaaa.
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
7,624
Likes
12,677
Points
280
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
7,624 12,677 280
Mmh. Mapenzi ya kulambana lambana tena. Duuh.

Ila mapenzi ni kitu kingine bana unaweza andaa hiyo asali ila ukafika muda wa ile shughuli hata nafasi wa kumwagiana hiyo asali isipatikane kwa sababu kila mtu ana mhemuko wake na kuna mwingine mpaka uanze kumtuliza eti umwagie asali mmh.

Hapo unaweza kuta kashahama kabisa yaani hayupooo.
Hupendi kulambwa
 
Kichwa Kontena

Kichwa Kontena

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
567
Likes
431
Points
80
Age
48
Kichwa Kontena

Kichwa Kontena

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
567 431 80
Mmh. Mapenzi ya kulambana lambana tena. Duuh.

Ila mapenzi ni kitu kingine bana unaweza andaa hiyo asali ila ukafika muda wa ile shughuli hata nafasi wa kumwagiana hiyo asali isipatikane kwa sababu kila mtu ana mhemuko wake na kuna mwingine mpaka uanze kumtuliza eti umwagie asali mmh.

Hapo unaweza kuta kashahama kabisa yaani hayupooo.
I LOVE YOU
 
Kichwa Kontena

Kichwa Kontena

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
567
Likes
431
Points
80
Age
48
Kichwa Kontena

Kichwa Kontena

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
567 431 80
Mkimaliza asali, mtakuja kumwagiana hadi maziwa mtindi!!
maziwa mtindi yakiisha utabiwa mpake usoni ulambe utamlainisha ngozi ya uso
 
mind ur bussness

mind ur bussness

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Messages
1,070
Likes
709
Points
280
Age
29
mind ur bussness

mind ur bussness

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2016
1,070 709 280
Muted
 
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
4,312
Likes
2,362
Points
280
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
4,312 2,362 280
Hii kwa mwanaume ni kero,ninachojua kwa mwanaume hahitaji kusisimuliwa zaidi ya kunakofanywa kwenye tendo.Kwa mwanamke sawa,huenda ikafanya kazi
 

Forum statistics

Threads 1,215,102
Members 463,036
Posts 28,535,728