Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,261
- 2,864
Wanawake wa zamani
Miaka ile tunakua ili wanawake wanasifa zao ambazo kwa sasa zimepotea na kuondoa ladha flani ya mapenzi au mahusiano.
1. Ukimtongoza mwanamke hawez kukubalia mara moja lazima akwambie ngoja akafikirie kwanza. Hapo mwanaume itabidi uendelee kupalilia. Kumpelekea pelekea zawad na maneno matamu hata miezi na mwaka inaweza fika akiwa anakufikiria tu.
2. Akija kukubali hakwambii moja kwa moja unamuona tu sasa anajenga ukaribu ukimkiss anakataa huku anakubal akitizama chini. Ukimwambia aje gheto anakuja huku anaona aibu shida inakuja ukitaka kumkamua. Hapo unaweza bembeleza masaa mpaka 5 akikubali ukimgusa anaruka na anataka kuondoka unambembeleza tena baadaye ni kama unambka flan ila ukiingiza tu naye anashughulika huku amefumba macho.
3. Zaman ilikuwa ukimkamua demu kesho yake mkionana hakutizami usoni... Anainama tu akiuma uma vidole. Na sometme kama mnakutana njiani anageuza njia au anakukwepa. Ukimtafuta tena atakuchnga then atakuja tena utamkamua.
4. Ukimpiga chini demu ilikuwa anakaa mwaka au miaka anaomboleza. Na utamwona anapungua hata uzito. Na atakubembeleza mrudiane ila mbaya.atatumia hata rafik zake mpaka utamwonea huruma. Na hapo hatataka mwanaume mwingine aje amkamue haraka.
5. Ilikuwa ukimkamua demu ni siri yenu. Hatak watu wajue kabisa na mkikutana atajitahidi sana msiongelee ile issue kwa jinsi alivyo na aibu.
6. Zaman ilikuwa ngumu sana kujua hata mkeo yupo mwezini au kwenye siku zake. Ilikuwa ni siri hata kama mnalala kitanda kimoja. Hujui muda gani anabadilisha pedi au vile vipande vya khanga. Na hawez kukwambia akiwa siku zake atakutafutia tu excuse usimguse kule chini
Wanawake wa siku hizi.
1.ukimtongoza leo hii hii anakukubalia jamna kupigana chenga na anajua kabisa in advance unataka game.
2.ukimwambia kuja geto anabeba na condoms kabisa kama yupo siku za hatari. Na akija anajua kuna kucheza game anakwambia kabisa kesho nakuja ila ujue nipo period etc
3. Ukikutana naye kesho mkavu kabisa yaani hata soni au aibu hata kidogo mnapiga story kama vile jana hamjaonana sehem zenu nyeti na sometime anakutania jana ulisugua game kama umetoka jela... Au dah mshkaji unakamua kama mashindano.
4.ukimpiga chini anakwambia shika 50 zako naye anashika 50 zake hakuna kudaiana. Anaanza mbele na kesho mkikutana ana mtu mwingine kama kawaida anakamulia tena. Wala hana uchungu.
5. Ukimkamua anasema tu hata kwa wenzie anasimulia au anaaga jamaani hee...leo nakipeleka kikatumike kwa mwenye nacho. Na akirudi utasikia...aisee kinawaka moto bas atasimulia mikuno yako na mikunjo mbalimbali...
6. Siku hizi demu anaitoa pedi huku unamwona na anaiweka mezani au kwenye kimfuko. Na kukwambia ni kawaida tu au ofisin unamwona amejiwa na zile siku ghafla nyuma kaloana maskini. Weng wamekuwa careless. Au utamsikia tu analalamika tumbo ukimuuliza anakwambia nipo kwenye period. Hata ukitaka kujua kaanza na anamaliza lini anakupa ratiba yake.hawana hiyana kabisa
Sisi wanaume wa zaman tunamiss sana yale mambo. Mkitaka kufanya mapenzi anasema " basi kama ni hivyo zima taa au tufunike shuka. Hataki umwone mwili wake. Na hawez kuangalia usoni.