Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari za usiku wanaJamiiForums,
Poleni na mihangaiko ya kutafuta maisha.Kuuliza sio ujinga,nauliza kuna mahusiano ambayo yamewahi kutokea hapa JamiiForums ikapelekea watu wakafunga na ndoa serious?
Nataka kujua maana kuna uzi nimeusoma naona kama masikhara vile,maana nisije nikawa mm nachelewa wenzangu mnajivutia tu watoto wazuri.
Na kama ipo mifano naiomba ili niweze kuamini japo nimewahi kuongea na warembo kupitia namba zao za simu.
Nauliza tu jamani