Kama hukumkuta BIKRA jua ni mke wa mtu, achana nae tafuta wako

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu..

Bila ya kupepesa macho niwaambie wanaume wenzangu ukweli ulio mchungu kabisa,
Kama mke ulie nae, mpenzi au mchumba hukumkuta Bikra jua kabisa ni mke halali wa mwanaume mwenzako alie mtoa ubikra wake hivyo achana nae, tafta mke wako halali ...

Nb: kama alishindwa kua mwaminifu kwa mume wake wa awali ( alie mtoa bikra) ataachaje kukuletea nuksi na mavurugu ndani ya nyumba.

Acha kabisa huyo ni mke wa mtu haijalishi unampenda vipi au umezaa nae achana na mke wa mtu, tafuta wako
 
Sawa tumekuskia balozi mwandamizi wa chama cha mkonobao na mendeleo ya kujichukulia sheria mkononi.
Uishi milele ewe mtaalam wa raha jioe mwenyewe.
Dunia nzima ikapate kukujua bingwa wa matumizi ya sabuni na losheni na mlenda vuguvugu.
Hopeless!
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu..

Bila ya kupepesa macho niwaambie wanaume wenzangu ukweli ulio mchungu kabisa,
Kama mke ulie nae, mpenzi au mchumba hukumkuta Bikra jua kabisa ni mke halali wa mwanaume mwenzako alie mtoa ubikra wake hivyo achana nae, tafta mke wako halali ...

Nb: kama alishindwa kua mwaminifu kwa mume wake wa awali ( alie mtoa bikra) ataachaje kukuletea nuksi na mavurugu ndani ya nyumba.

Acha kabisa huyo ni mke wa mtu haijalishi unampenda vipi au umezaa nae achana na mke wa mtu, tafuta wako
Acha hizi akili za 2022 ndugu
 
Kwa maandiko gani?? Kwa maagano gani?? Labda maagano ya kishetani.

Ila ya kiMungu dhambi zote ziliyeyushwa pale msalabani, atubuye ataondolewa dhambi zake hata ziwe chafu namna gani.

Hii mentality yako itakuja kukuacha na stress/ kukuua kabisa. Uliemkuta bikra hachepuki??

Sema labda uliemkuta bikra hatokua na historia ya ex so sio rahisi kua mchepukaji kama yule asie bikra kwasababu anakua na historia ndefu na wanaume tofauti tofauti.

Ila kiroho haiapply hivyo mkuu, ndoa haifungwi kitandani mkiwa uchi.
 
Woiii kelele za mtandaoni tu. Mkitoka hapo mnaoa vizuri tu mbona? Eti bikraaakwani saio na wewe ni bikra? Au unataka mtu ambaye hajafanya huku wewe umeloweka loweka hadi umeambukizwa UTI sugu ndio unataka kuoa bikira sasa.

Hahahahaha, sisi ndio tupo.
 
Hii hoja haina mashiko kwa sababu, vipi Kama alibakwa,Au alitolewa wakiwa wanacheza michezo ya utotoni(maigizo ya baba na Mama), au aliendesha baiskeli umbali mrefu ikamtoboa.?!
Hakuna kitu kama hicho
Hicho ni kichaka cha kujificha
We elewa umeoa mke wa mtu
Pole sana
 
Umenena, kiuhalisia aliyeanza nae kimapenzi ndiye mume wake halisi. Umekwepa wooooote ukaamua kumkubalia, basi ndiye mtu wako wa maisha, imekuwaje ukamuacha?
 
Kama wamemchukua aliyemchukua hata akiona hii mada sidhani kama atakusikia.
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu..

Bila ya kupepesa macho niwaambie wanaume wenzangu ukweli ulio mchungu kabisa,
Kama mke ulie nae, mpenzi au mchumba hukumkuta Bikra jua kabisa ni mke halali wa mwanaume mwenzako alie mtoa ubikra wake hivyo achana nae, tafta mke wako halali ...

Nb: kama alishindwa kua mwaminifu kwa mume wake wa awali ( alie mtoa bikra) ataachaje kukuletea nuksi na mavurugu ndani ya nyumba.

Acha kabisa huyo ni mke wa mtu haijalishi unampenda vipi au umezaa nae achana na mke wa mtu, tafuta wako
Mbona tutakuja hatutoi sasa
 
Vipi kuhusu wanaume used? Nao Ni waume wa watu waachwe?
 
Kwahiyo Maneno Yako Unaweza Kusimama Mkaongea Na Professor Juma Kapuya, Doctor Hassan Abas,
 
Wanaume tunatumika sana mfano kuna mama mmoja nataka nimfungulie mashtaka ili anilipe phidia maana alinitumia kupitiliza hadi kibuyu kilikuwa kinaisha yaani kabla hakijajaa anakifagia chote hadi kuna wakati nilitoa macho badala ya bao tatizo alikuwa mweupe na paja kubwa mithiri ya tairi la lori la mgodini
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu..

Bila ya kupepesa macho niwaambie wanaume wenzangu ukweli ulio mchungu kabisa,
Kama mke ulie nae, mpenzi au mchumba hukumkuta Bikra jua kabisa ni mke halali wa mwanaume mwenzako alie mtoa ubikra wake hivyo achana nae, tafta mke wako halali ...

Nb: kama alishindwa kua mwaminifu kwa mume wake wa awali ( alie mtoa bikra) ataachaje kukuletea nuksi na mavurugu ndani ya nyumba.

Acha kabisa huyo ni mke wa mtu haijalishi unampenda vipi au umezaa nae achana na mke wa mtu, tafuta wako
Wewe hiyo bikira unayo?
Kama huna, umewatoa bikira wanawake wangapi hadi Leo toka umeanza michezo hii?
Kama unakataza wasio na bikira wasiolewe, Hawa uliowabikiri huoni utakuwa umewadhulumu sana? Maana Ilitakiwa wewe ndo uwaoe.
Waoe Basi wote uliowabikiri uwafanye wake zako.
 
Back
Top Bottom