Nimekagua begi lake nimekuta vifuatavyo
1.betri moja
2.unga mweusi kwenye karatasi
3.unga mwingine kwenye kikopo kidogo cha mafuta kama kakoroga na mafuta
3.unga mwekundu wenye texture kama unga...
Huyu dada nilishawahi kuachana nae kama miezi sita hivi iliyopita kwa sababu ya ubabe wa kijinga jinga , kila siku mi nlikuwa mtu wa kula vipigo tu mwanamke alikuwa anapiga kama Rambo, asione...
Wakuu,
Niko mahali kikazi, nje ya Dar es Salaam ni muda sasa, huku nilipo kuna mabinti wazuri kwelikweli.
Najaribu kuzoeana nao, ni rahisi kuzoeana nao sababu "wanatushobokea" sana, naona...
Niko serious. Sitanii. Hii ni kwa wanawake wa aina hii tu kama haikuhusu tafuta kazi nyingine ya kufanya maana sitajibu chochote utakachosema aidha pm au hapa hapa.
- Wewe ni mwanamke ambaye una...
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy...
Hili ni moja ya tatizo kubwa sana kwa hivi sasa unapotaka kuanzisha mahusiano.
Wanawake wengi wamekuwa si waoga kutangaza njaa na matatizo mapema. Jamaa yangu mmoja analalamika kuwa alimwona dada...
Hili jambo limekuwa likinikwaza sana. sijaelewa kama kuna sababu inayofanya wanawake wengi wawe wanafanya hivi. unakuta umekaa au hata mmesimama na mdada sehemu mnaongea vizuri kabisa. na wewe...
Salaam Jf
Suala la mapenzi limekua pasua kichwa toka enzi za Adam na Hawa.
Kwa karine zote , kwa sehemu kubwa, mafanikio ya mtu na anguko la mtu linefungwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Si kwa...
Wakuu za weekend,..
Jana mida flan nilitoa uzi hapa wa wadada kuomba sana pesa,wadau weng walichangia,mi sikushirik kabsa mjadala hata ukitazama comments,yangu utakuta 1tu,well,..nilikua kwenye...
BINTI NA MAMA YAKE
Binti : Hivi mama, kwanini uliamua kuolewa na baba?
Mama : Upendo wake ulinivutia sana.
Binti : Upendo tu, hamna kingine kilichokuvutia?
Mama : Hahaha mwanangu, unajua...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Niliwahi kuwa na mahusiano na Dada mmoja kumbe alikua na mwanamme mwingine lakini hakuniambia kabla nilivyo ji ingiza ndo akaniambia ana bwana na...
Habari za mwaka huu wadau,
Naandika kwa huzuni kubwa sana leo, mwenza wangu ananilalamikia kwamba siku hizi nimekuwa natumia muda mwingi sana kwenye simu na analalamika kwamba kazi yangu imekuwa...
Habarini zenu wakuu kuna tetesi Nimezisikia mtaani kumbe wadada wengi wenye wowowo za kutengeneza hazitikisiki Kama zile original, naombeni mnithibitishie ilo wana MMU
Hello! JF members,
Bila shaka hamjambo sana na kwa wale wenye changamoto tuzidi kumtegemea Mwenyezi Mungu na kujibidisha katika kujijenga.
Kama kichwa cha habari kisemavyo , juzi kati nilikuja...
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!
Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe...
Maisha ya mjini kama mnvyoyajua wewe na wife mna mtoto mmoja na wote ni waajiriwa. Mmepanga chumba na sebule, sebule ndiyo jiko pia kwani mna jiko la gas.
Mnahitaji binti wa kulea kichanga chenu...
Nauliza hivi kwa sababu, kuna zaidi ya wadada na wamama watatu ambao tumekutana na kubadilishana namba maeneo tofauti,
Sasa baada ya mawasiliano ndio huwa naomba japo tukutane tena ili...
Habari wakuu!,hivi kwa nini wanawake wanafikiri wanaume wanapenda sana mapenzi kuliko kitu chochote kutoka kwao?,Mwanamke ukishatembea nae ukimuacha utasikia anawambia wenzake"Ameshapata...