Mawazo ya wanawake kuhusu wanaume!

Mawazo ya wanawake kuhusu wanaume!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wakuu!,hivi kwa nini wanawake wanafikiri wanaume wanapenda sana mapenzi kuliko kitu chochote kutoka kwao?,Mwanamke ukishatembea nae ukimuacha utasikia anawambia wenzake"Ameshapata alichokuwa anakitaka ndio maana ameniacha,wanaume wote ni sawa tu",na kama ukimuacha Mwanamke ambae ulikuwa nae katika mahusiano na hukuwahi kufanya nae mapenzi utasikia anawaambia wenzake"Ameniacha kwa sababu nilikataa kufanya nae mapenzi",yani hata ukimuoa mwanamke ikitokea siku umemkosea unaweza ukashangaa siku hiyo haki yako ya ndoa usipewe,Eti anafanya hivyo kukuadhibu kwa kosa uliomfanyia mchana,yani wanawake bhana wanaona kumpa penzi mwanaume ni Zawadi na kumnyima ni Adhabu!,hivi ni kweli mwanaume anahitaji ngono tu kutoka kwa mwanamke?,

Mjadala Huru kila mtu atoe mtazamo wake!

Nawasilisha!
 
Hapo adhabu ya kweli kwetu wanaume labda tukatwe mikono tu kama kweli wanawake wakiwa na misimamo hii.
 
Kiukweli wanaume tunapenda ngono..Mwanume yoyoye rijali anapenda kunong'onoka. Sasa kwa sababu hawa viumbe watamu wanajua tuko hivyo wanatumia sababu hiyo kutuadhibu. Ni changamoto kwa kweli
 
Mindset tu, kwakua wanawake wengi wanaolalamika hayo hawana cha zaidi cha ku-offer tofaut na Ngenya...Ukimfata mwanamke mwenye pesa atasema ulifata pesa zake tu kisha ukasepa hata kama ulikua unatoboa kila siku....

Mara nyingi wanalalamika kwenye kile wanachohisi ndo wana ubora nacho zaidi.

Mtazamo wangu katika hili.
 
actualy wanawake wanaona ni ngono tu ndio muhimu katika maisha yao nabhawa ni wale hususan wanaokua hawana cha lufanya aftre mature.. hvyo kaeka mwili kama kigezo but mi binafsi kwa mwanamke sipend ngono at all
 
Mi nahisi napenda ngono zaidi kutoka kwa mwanamke... Au hata kama Nampenda yy sana na ngono yake pia naipenda sana tena sana.
 
Mara nyingine huwa wananichanganya sana,niliwahi kumuuliza babu yangu na yeye akanijibu kwa kunishangaaa;hivi nawewe wanakushangazaga eti mjukuu wangu?
hahahah!kweli wanashangaza mkuu!.
 
Kiukweli wanaume tunapenda ngono..Mwanume yoyoye rijali anapenda kunong'onoka. Sasa kwa sababu hawa viumbe watamu wanajua tuko hivyo wanatumia sababu hiyo kutuadhibu. Ni changamoto kwa kweli
hahaha,changamoto kweli!
 
Mindset tu, kwakua wanawake wengi wanaolalamika hayo hawana cha zaidi cha ku-offer tofaut na Ngenya...Ukimfata mwanamke mwenye pesa atasema ulifata pesa zake tu kisha ukasepa hata kama ulikua unatoboa kila siku....

Mara nyingi wanalalamika kwenye kile wanachohisi ndo wana ubora nacho zaidi.

Mtazamo wangu katika hili.
inawezezekana ikawa hivyo mkuu!
 
Wanavyosema "wanaume wote ni sawa/walewale" Waliombwa wawajaribu wanaume wote?? wanawake aiseeh...

Akitendwa na mwanaume mmoja basi atalaumu wanaume wote duniani
 
Back
Top Bottom