Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Ndugu wana Jamiiforums Kuna rafiki yangu kipenzi ana mpenzi wake wa kimasai, hawana muda mrefu sana katika mahusiano, sasa naona kama vile ana mpango mkubwa na huyo mpenzi wake, sasa anataka...
1 Reactions
30 Replies
15K Views
Ni mwaka wa 6 huu sasa tangu mimi na mume wangu tufunge ndoa takatifu, lakini mpaka sasa hatuna mtoto hata mmoja. Mume wangu amechukua hatua mbalimbali zinazomgharimu fedha nyingi ili kutatua...
8 Reactions
276 Replies
29K Views
Wakuu, Kuna mdada mmoja nilidate nae mda kidogo, sasa kiukweli mimi nilikua simfeel kivile ila yeye na uhakika alikua ananipenda sana kutokana na mambo aliyokua ananifanyia, tuliachana sababu ya...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Hii nimeipata kwenye Social Groups nikaona ina kaukweli fulani. (Nimeshindwa kutafsiri kwa Kiswahili.) Why do husbands in Africa die most times before wives? A husband in Africa in most cases...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Najua Najua nimetoka kuwasema wala tigo ... kama haukusoma hii hapa Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo' Narudi kwenu wapasua condom Kuna michezo imeingia ya kupasuliwa condom...
2 Reactions
87 Replies
16K Views
Kama jina linavyojieleza mimi ni msichana mrembo sana nipo Dar es Salam napenda sana kujifunza hasa kutoka kwa critical thinkers! Nafahamu yakuwa kuwa curious kuna negative na positive outcomes...
8 Reactions
96 Replies
7K Views
Habari wakuu, katika mishemishe zangu za siku zote huwa ninabahati sana ya kukutana na warembo, ila shida kila nikitaka kuwasalimia kwa ukaribu yaani kushikana mikono huwa hawataki ,hivi ni...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Habari wanajamvi! Poleni na pilika za kutwa nzima wana JF, Mimi nilikuwa na swali kama lilivyoeleza hapo juu kuwa kuna kosa lolote kumsifia mtu wa jinsia yako, mfano mwanaume kumsifia mwanaume...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Bila ya kupoteza muda, wanajamvi wenzangu nimekuwa nikiteseka saana juu ya shemeji yenu. Ninampenda saana lakini mwenzangu haoneshi dalili zozote za mapenzi kama navyomwonesha mimi. Ukimuuliza...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli. ni PM tafadhali.
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Watu hukutana na kufahamiana kutokana na viunganishi mbalimbali, yaweza kuwa matukio, kupitia marafiki n.k Hili la wapenzi/wanandoa kukutana nalo limekuwa na msisimko wa aina yake kutokana na...
0 Reactions
448 Replies
58K Views
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine...
2 Reactions
117 Replies
16K Views
Kipindi cha Nyuma Mama yangu Hakuwahi kabisa kupenda niwe na mahusiano au Mazoea na Mwanamke yeyote, alitaka nisome nifikie Malengo yangu...Kwa Hili Niliona Yupo sahihi!. Basi nikamaliza Mpaka...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hi guys, niaje? Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda...
14 Reactions
796 Replies
77K Views
Mimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea. Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza. Awe mcheshi ila sio kuzidi. Awe na kazi nzuri...
2 Reactions
97 Replies
8K Views
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua. Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu. Ulipofika wakati wa...
7 Reactions
163 Replies
17K Views
Wasalaam. Katika mahusiano kunatofauti ya mahitaji ya msingi ya mwanaume na mwanamke.tofauti zipo nyingi ila nitataja tano za msingi!nitaanza na mwanamke 1.Hitaji la kwanza kabisa la mwanamke...
19 Reactions
123 Replies
15K Views
Jamaa mmoja kajinyonga, kwa kuwa mkewe alikuwa akigawa sana. Sasa wewe kidume unaweza fanya hivo ama utafanya nini? Na wewe mwanamke umeolewa kwanini ugawe? Pia tembelea Forum mpya hapa ya...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari za muda huu ndugu zangu wapendwa, Bila kupoteza wakati niende kwenye mada yangu kama inavyojieleza hapo juu. Nimepanga maeneo flani hapa Dar, miezi michache baada ya mimi kuhamia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…