Ushauri: Nifanyeje nimpate huyu mdada?

SalahDaim

Member
Dec 24, 2017
8
0
Habari za muda huu ndugu zangu wapendwa,

Bila kupoteza wakati niende kwenye mada yangu kama inavyojieleza hapo juu.

Nimepanga maeneo flani hapa Dar, miezi michache baada ya mimi kuhamia, alihamia mdada mmoja ambaye kwakweli amenivutia sana.

Ni mzuri wa rangi yake na anaonekana ni mtu wa Kilimanjaro, basi baada ya siku chache kupita nikamzoea hadi nikamwomba no akanipa tukawa tunawasiliana. Na mimi kwa vile nampenda sikupoteza muda nikamwambia ya moyoni mwangu kuwa nataka niwe naye.

Alichokanijibu sikufurahia, coz alinambia nimechelewa na ameshawahiwa na mwingine. Mwanzo sikumwamini nikadhani kuwa ndo michezo yao tuu huwa wanakataa kupima kama kweli mwanaume ana uvumilivu na anapenda kweli.

Lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ninajaribu kila njia hadi naingia room lake lakini anachomoa anasema kama ni kuongea tukaongee nje. Kibaya zaidi siku hizi anamleta hadi huyo mchizi ambaye aliniambia ndo yuko nae.

Kiukweli naumia sana nikimuona huyo mshkaji, napatwa na hasira sometimes na sijui nifanyaje nimpate huyu mwanamke. Kwakuwa nimempenda sana.
Kuna wakati ninawaza hadi nihame ili nikae mbali na huyu mdada.

NAHITAJI USHAURI, NIFANYAJE KWA HUYU MWANAMKE
KWAKUWA NAMPENDA.
 
Sasa ushauri Wa Nini. Acha Utaahira bana Hivi Wewe Hadi Saiv Bado Unampenda Msichana Kha! Mi Nikiona Ujinga Kama Huu Nakulipua Tuu. Kupendana Zilipendwa. Pita Na yako
 
Oohhhh hao wananjia zao za kuwapata mkuu .

Ivi ivi tuuu itakula kwako.

Kwanza unamalengo naye ?? Au unataka kuchafua tu alafu uamshe ??
 
Sasa ushauri Wa Nini. Acha Utaahira bana Hivi Wewe Hadi Saiv Bado Unampenda Msichana Kha! Mi Nikiona Ujinga Kama Huu Nakulipua Tuu. Kupendana Zilipendwa. Pita Na yako
Duuuuhhh
Sasa broo kwahyo we hutaoa ? Na kama utaoa manaake utaoa ila usiyempenda?
 
Fanya mambo mengine wachaga wengi niliokutana nao hawapendi kuwa na wanaume wawili sio malaya wakipata penye matunzo wanatulia tuli
 
Kwa nini unamsumbua Mwanamke kwa sababu eti umempenda, yeye kasema hapana, heshimu maamuzi yake, ana haki ya kusema hapana hata kama hana Mwanaume, na hii ndio maana hata Trump anawatukana waafrica kwani kama ni nchi zilizoendelea huna bahati, ukimsumbua mwanamke, Tafuta pesa achana na wanawake.
 
Kunya hadharani atakuona wewe ndo kidume unajiamini sana bila shaka atakukubalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom