Michezo ya kupasua kondomu katikati ya tendo

Michezo ya kupasua kondomu katikati ya tendo

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,561
Najua Najua nimetoka kuwasema wala tigo ... kama haukusoma hii hapa Ushauri: Wanaume na ulimbukeni wa michezo ya 'tigo'

Narudi kwenu wapasua condom

Kuna michezo imeingia ya kupasuliwa condom wakati ukiwa una-do na bwana wako ... unapokuwa katikati ya kupewa rahaaa mwenyewe up biiiizeeee unalia lia kama paka wa usiku wa manane (pakajini)

Kuna vipusa sikuhizi buana wanapasua Condom hasa:

1. Akijua anaukimwi

2. Anapokataa mpime ukimwi na kukuhakishia atatumia condom

Michezo unafanyika hivi japo sijawahi shika mtu miguu:

A. Mkiwa katika kupeana raha yeye yupo juu wewe upo chiniiii jamaa anajidai kakoleaaa na wengine wanajiliza ha ha haaaa anaingiza mkono na mikucha yake anaifinya condom akiona umeskia anajidai kukuingiza vidole anakupa raha

B. Wengine hawavui mashati au wanaweka pini chiniiii ya ulimi kissing zinakuwa so kiviiiilee by the time unagegedwa jamaa anaipasua paaa habari unayooo!

C. Anajidai anatoa condom mfukoni mwake anaivaa kumbe muda alishaitoboaa. ..[HASHTAG]#habariunayo[/HASHTAG]

Ndio ivyo wapendwa jihadharini na wapasuaji condom wengi wao ni waathirika na wengine ni vichaa

Ps:
Mwenye sikio na asikie... money penny anasema na mademu wa Jamie forum

 
Back
Top Bottom