Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama unataka kuingia katika mahusiano basi kuna wanawake ni wa kuwaogopa sana.Na hii itakusaidia kulinda Heshima yako,Kuondoa stress zisizo na sababu za msingi na kukufanya uishi KAMA MWANAUME...
9 Reactions
70 Replies
8K Views
Nimekuwa mwanachama wa JF kwa muda wa miaka 4 sasa. I come to you members today kwa ajili ya ushauri wa hili jambo ambalo ni changa lakini naona litakuja kuharibu maisha yangu huko mbeleni. Mimi...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Katika maisha yangu haitakuja itokee hata siku moja nijichanganye kuoa mwanamke mfia dini. Wengi wao akili zao zipo rigid(hawashauriki). Wakati nipo mwaka wa pili chuo, kuna dada mmoja alikuwa ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ilivyo kawaida, Sarafu ina pande mbili. Kila lenye kuwa jema lazima lazima liwe na mapungufu pia. Kila lenye faida lazima liwe na hasara yake pia. Ni tabia zipi huzipendi kutoka kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
_Muheshimu mumeo,hata kama anachepuka ana kimada nje usifungue mdomo ongeza upendo ataona aibu mwenyewe ataacha. _Umjinimjini acha nao,Maneno ya saloon,mashoga,majirani achana nayo. _Usiwaombe...
1 Reactions
2 Replies
910 Views
Wana janvi naomba tafsiri ya swala hili, Hii ni mara ya 3 kuna mbidada amenambia ameniona kwenye ndoto tuna gegedana, sijawahi kabisa kuwa naye kimapenzi huwa tuna ongea tu na tunasalimiana basi...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Habarini wana JF, Kumekuwa na dhana mbalimbali kuhusiana na ufanisi mdogo wa mwanaume mnene kwenye suala zima la mapenzi. Wanaume wanene wamekuwa wakiwekwa katika kundi la watu dhaifu kwenye...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Suala la kuchepuka kwa wanandoa kwa miaka ya hivi karibuni limekua ni kawaida kwa wanandoa na bila kupepesa macho wanaume ndio tunaoongoza zaidi kwa kuchepuka kuliko wanawake. Mwanaume anaweza...
1 Reactions
53 Replies
11K Views
Barua ya mke kwa mumewe wa zamani. Ndoa na iheshimiwe na watu wote! My X Husband, Nilikuwa binti mdogo ambae nilikuwa nikisoma chuo kikuu nikiwa na mipango mingi ya kimafanikio na malengo mengi...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Hello Bila shaka mko poa! Kama headline inavosomeka, natafuta mwanamke wa KUANZISHA nae mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kuja kuoana na kuishi pamoja! Umri : 28 Mwanachuo mwaka wa tatu...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Natafuta rafiki, awe msomi degree na kuendelea, rangi yoyote na umbo lolote kabila lolote miaka yoyote, Sihitaji mchumba wala girlfriend narudia tena ni rafiki tu wa kubadilishana mawazo na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Morning Jf! Kuna mdogo wangu kampenda sana bint mrembo chuchu kama mdoli kwao watata jamaa nae mipango ya ajira bado haijakamilika. Anahofia kipindi cha kusubiria atapokonywa kwa urembo wake hata...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna dhana fulani imejengeka kuwa mtoto wa kiume akizaliwa kipindi cha kukatika kitovu mama yake anatakiwa awe makini kitovu kisiangukie kwenye 'kifanyio' cha mtoto maana kikigusa tu pale mtoto...
4 Reactions
57 Replies
13K Views
Hivi ikitokea umeulizwa swali hili ni kitu gani au jambo gani huwa unajivunia toka kwa mpenzi wako Mimi upande wangu nashukuru mungu nimempata mpenzi ambae anaendana na mimi kitabia na itikadi...
10 Reactions
125 Replies
13K Views
Habari za jumapili Wakuu "mficha maradhi mauti humuumbua" waswali husema Ni kama miezi miwili sasa nimekuwa na tabia ya kupenda wanawake wakubwa walionizid umri, hii tabia inanikera sana, sijui...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari za mda huu, Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa hapa mjini yapata miezi 3,cha ajabu anataka nikamtambulishe nyumbani kwetu,eti mama,baba na ndugu zangu wamjue.Najiuliza sipati jibu...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Hi wanabod ,hope u all good niende kwenye mada since the beginning of this january nimekuwa natongozwa sana ,yaani imekuwa too much Halafu wanaume wenyewe ni vijana wa makamo kwenye 30's hivi na...
11 Reactions
504 Replies
35K Views
Kuna kale kamfumo ka kutumia picha za uchi hii kwa kiasi kikubwa imepoteza thamani ya tendo la ndoa kwa vijana ambao hamjaoa/kuolewa. Sijawahi jua kametoka wapi alafu haka kamchezo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii forum Katika harakati za kutafuta binti anayeendana na sifa zangu nazotaka, eeh bwana macho yangu yakatua kwa binti mmoja wa kinyaturu ambaye nimekutana anaye hapa Moshi...
12 Reactions
122 Replies
13K Views
Its a confession.. nimejisikia uchungu sana baada ya mdau hapa JF kuandika uzi mrefu sana kukata tamaa kutokana na maambukizi ya HIV aliyokua nayo. Nakumbuka kuna siku moja niliamka kichwa...
18 Reactions
89 Replies
15K Views
Back
Top Bottom