Kumwagiwa maji siku yako ya kuzaliwa

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
WAKUU naona watu huwa wana mwagiwa maji kweny siku zao ZA KUZALIWA ingawa sio kila mtu ila ..ninge penda kujua nini haswa Lengo la
KUMWAGIWA maji katika siku yako ku zaliwa
 
wengne hata hatujawahi kuona,kwa wewe uloona ulitakiwa kuwaauliza hao na si kuja kujaza saver za jf
 
WAKUU naona watu huwa wana mwagiwa maji kweny siku zao ZA KUZALIWA ingawa sio kila mtu ila ..ninge penda kujua nini haswa Lengo la
KUMWAGIWA maji katika siku yako ku zaliwa

BIRTHDAY -siku ya kuzaliwa BATH-kuoga wanarelate birthday na bathday
 
Ni nini logic behind juu ya hili la watu kumwagiwa maji katika kumbukumbu ya birthday zao? Wengine hufikia mpaka hatua ya kuogeshwa matope. What is the logic behind?.
 
Back
Top Bottom