Jamaa anaomba ushauri.
"Nimemsomesha dada mmoja kuanzia secondary hadi chuo, kamaliza anadai hanitaki maana sijasoma wala sio mzuri.
Nimemuona dada mwingine ambaye ni mwanafunzi wa secondary na...
Jana majira ya jioni saa 12 hivi kama SAA hii nilipita kwenye bar Fulani mjini hapa kama demu wangu kwambali labla macho yanashida nikasogea kumbe ni yeye tena yuko na mhuni mmoja wanamenya...
Habari za siku wanajamvi naona weekend ndio tumeianza,nirejee katika mada yetu ya leo.
Ni kitu gani unachokimiss kutoka kwa Mkeo/Mmeo mliokwisha tengana nae kwenye ndoa yenu?Wanajamvi Naomba...
Habari zenu wadau wa JF,
Leo nmekuja na hii kitu inaitwa TABOO nilipata kuona kwenye channel moja DSTV
Huko Australia wanandoa ili kudumisha penzi lao huwa wana tabia kila baada ya mUda kila...
Zamani ukiwa una mtongoza demu ilikuwa ni vigumu sana kutokanana na aibu na uoga waliokuwa nao.
Ilikuwa shida sana kwa kidume kurusha mistari maana hata facial expresision ya demu ilikuwa ni...
Tembea ujionee dunia imebeba mengi.
Nilikuwa nasikia wengine wakisema kubadili wanawake ni tamaa tu, uke ni ule ule nikataka kuamini maana wengi niliokutana nao ulikuwa unafanana but tofauti...
Najua kuna ambao watabisha, lakini ukweli upo wazi, wanaume wanaotembea mwendo wa wastani na kujiamini njiani ndio huwa tunawavutia zaidi wanawake kuliko ninyi mnaotembea kwa kudunda kama...
Baada yakuwa kwenye mahusiano kadhaa huko nyuma nakujikuta uchumi wangu unatetereka kwa vizinga vya hawa mabinti wadogo tena vizinga vya kipuuzi visivyo na malengo nikajisemea mwaka huu wacha nioe...
Habar za Jumamos.
Aisee Jirani yangu ambaye tunafahamiana nakueshimiana kama majirani wa siku nyingi.
Lakin cha ajabu jiran yangu juzi kati amemtafuna beki tatu wangu ...wakati yeye anamke wake...
Mambo zenu
Kuna uzi mtu kaandika eti mbona wa mama wa kambo hawapendi watoto wa kambo?
Ni hivi hana uchungu naye kabisa.
Hajawazaa ila akimzaa wake ndio anao uchungu naye.
Sasa ikiwa hivyo...
kuna muda unaweza ona kama kwenye mahusiano unaonewa lakini hapana, mahusiano mpaka yasimame huchuku muda mwingi sana, ni sawa na binadamu au mnyama kunenepa unaweza konda kwa wiki moja lakini...
Tangu kubalehe mpaka sasa tumeshaingia kwenye mahusiano na watu tofauti tofauti wengi ndio ukweli huo hakuna anaebisha lakini kama ingekuwa kila unaenzisha nae mahusiano ndio mumeo au mkeo basi...
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata...
Wana jamnvi, wanaume kuoa zaidi ya mara 2 na kuachana huku mkiwa mmefunga ndoa, au mwanamke kuolewa na wanaume zaidi ya 2 na kila moja unaachika nini tatizo haswa, je ni kutokuwa makini kumchagua...
Jana nimemnasa vibao shemeji yangu mke wa kaka yangu mbele ya mumewe baada ya kutoridhika na kitendo alichokifanya mbele ya macho yangu na macho ya ndondocha wake (mumewe).
Ilikuwa kama...
Habari wanajamvi
Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza.
Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi...
Wakuu hivi binti wa kizungu umri kati ya miaka 25-27 kuanza utaratibu wa kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia kila wanaposalimiana huwa ina maana gani?
Tabia hiyo kabla hakuwa nayo. Sasa hata...
Wakuu natafuta mchumba wa kuoa ambaye anasoma Chuo cha Ualimu Tabora ama Chuo Cha Uhazili Tabora aliyetayari kuolewa na asiyejali masuala ya uke wenza.
Sifa za nwanamke huyo:
-Umri kati ya 20...
Habari za wakati huu bandugu!
Moja kwa moja kwenye mada, nilikuja na Uzi wa kuhusu Dada tuliekutana nae kwenye WhatsApp na tukaonana baadae kupendana,then baada ya mahaba kushmili akaniomba...