TABOO: Utaweza kumruhusu mke/mume wako kufanya mapenzi na mtu mwingine mbele yako?

ibraton

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
353
185
Habari zenu wadau wa JF,

Leo nmekuja na hii kitu inaitwa TABOO nilipata kuona kwenye channel moja DSTV

Huko Australia wanandoa ili kudumisha penzi lao huwa wana tabia kila baada ya mUda kila mwanandoa anatafuta mtu stranger (sio wa mtaani mnaenda kumtafuta wote wawili) itategemea ataanza nani

Kama ataanza mama basi siku hiyo mtatoka kwenda sinema ama bar za usiku mwenza wako atachagua mtu anayemtaka mtamkaribisha kwenu (KITANDANI) na kuruhusu afanye mapenzi na mkeo ukiwa unaona au kama huwez unaweza kukaa hata sebulen siku nzima...na asubuhi unaandaa chai au chakula kuwatengea na mnajumuika pamoja mezani....

Vivyo hivyo kwa baba nae siku yake anafanya..

Je, we mbongo unayeona papuchi au dudu ya mwenza wako ni kama uhai wako utaweza?
 
Australia ni waafrika? Hapana ,kibongo bongo hiyo haiwezekani. We ukitaka amsha amsha kasirikishaneni halafu muanze kubembelezana ije siku ya kutiana sasa! weeeeeee ni motoooo.

Kuna bidada mmoja kipindi nipo Kagera alikuwa na tabia hiyo, anaweza siku akaamua tu akanizingua ile kimori yaani, bas ikija kwenye mapatano wakati wa kutiana nae aaaaaah ssssshiiiiiit! sio kwa kuto.mbana kule wajameni looooh!
 
noted.......
 
Mie sina mke nialike kwako nije kumkanyaga mkeo uone jinsi gani inavyouma.

Hao wazungu wana mila zao na sie zetu sio kila kitu lazima tuwaige.
 
Habari zenu wadau wa JF
Leo nmekuja na hii kitu inaitwa TABOO nilipata kuona kwenye chanel moja DSTV
uko australia wanandoa hili kudumisha penzi lao huwa wanatabia kila baada ya mda kila mwanandoa anatafuta mtu stranger(sio wa mtaani mnaenda kumtafuta wote wawili)itategemea ataanza nani kama ataanza mama basi siku hyo mtatoka kwenda sinema ama bar za usiku mwenza wako atachagua mtu anayemtaka mtamkaribisha kwenu(KITANDANI)NA kuruhusu afanya mapenzi na mkeo ukiwa unaona au kama huez unaeza kukaa hata sebulen siku nzima...na asubuhi unaandaa chai au chakula kuwatengea na mwajumuika pamoja meza....vivo hvo kwa baba nae siku yake anafanya........JE we mmbongo unayeona papuchi au dudu ua mwenza wako ni kama uhai wako utaweza?

tuongee hapa sitaki matusi tafadhali........................
Ngumu kumeza!
 
Mie sina mke nialike kwako nije kumkanyaga mkeo uone jinsi gani inavyouma.

Hao wazungu wana mila zao na sie zetu sio kila kitu lazima tuwaige.
karibu weka namba za simu hapa nkupe mualiko............ila na sie hata gf TUNAMUALIKA
 
Mambo ya ajabu hayo. Sasa unalalaje ukijua bwana ako anamgegeda mtu mwingine. Akinogewa jee. Upuuzi huo usije kwetu kabisa
hujaambiwa utoke ndani ni hiari yako unaruhusiwa kukaa nao chumban mkiwa mnaongea...na unaruhisiwa kuigia kati kama wataka
 
Back
Top Bottom