Nawakumbusha Tu: Mahusiano sio ndoa

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,738
Tangu kubalehe mpaka sasa tumeshaingia kwenye mahusiano na watu tofauti tofauti wengi ndio ukweli huo hakuna anaebisha lakini kama ingekuwa kila unaenzisha nae mahusiano ndio mumeo au mkeo basi tumeoana wengi na kuachana lakini hii ni tofauti kabisa usije ingia kwenye mahusiano na mtu ukaamini moja kwa moja huyo ndio mumeo au mkeo unakosea sana,kama anakuhudumia,kama mnafanya ule mchezo au mnafanya yote yanayohitajika ndani ya ndoa kama hujaolewa au kuoa basi utasubiri sana.Hata kama umeahidiwa mtafunga ndoa lazima utambue maisha ya ndoa ni zaidi ya hayo yote mnayoyafanya nje ya ndoa.
 
Waambie bana. Wanaume wa sasa wanapenda sana mteremko na wadada Kazi kujipeleka tu bila kuolewa..
 
Ni kweli ila wapo wanaopenda kweli. Ila wengi wakishapata pesa kama walikuwa wanalelewa ndio utawatambua
 
Tangu kubalehe mpaka sasa tumeshaingia kwenye mahusiano na watu tofauti tofauti wengi ndio ukweli huo hakuna anaebisha lakini kama ingekuwa kila unaenzisha nae mahusiano ndio mumeo au mkeo basi tumeoana wengi na kuachana lakini hii ni tofauti kabisa usije ingia kwenye mahusiano na mtu ukaamini moja kwa moja huyo ndio mumeo au mkeo unakosea sana,kama anakuhudumia,kama mnafanya ule mchezo au mnafanya yote yanayohitajika ndani ya ndoa kama hujaolewa au kuoa basi utasubiri sana.Hata kama umeahidiwa mtafunga ndoa lazima utambue maisha ya ndoa ni zaidi ya hayo yote mnayoyafanya nje ya ndoa.
asanteee
 
Umeitengeneza weekend Yangu vizuri kwa Mawazo mazuri.
Asante kwa ujumbe
 
Usiku magogo mchana tochi ndio hii Mungu tusaidie tufikie kusudi lako..
 
Back
Top Bottom