Najuuta kuwa na huyu sugar mamy, nipeni mbinu za kuachana naye

kitororondo

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
598
699
Baada yakuwa kwenye mahusiano kadhaa huko nyuma nakujikuta uchumi wangu unatetereka kwa vizinga vya hawa mabinti wadogo tena vizinga vya kipuuzi visivyo na malengo nikajisemea mwaka huu wacha nioe tu.

Ila katika harakati za kazi nikakutana na jimama moja la haja likanitaman na minikaona yaap hawa wamama si ndio nasikia wanaleaga niheli ni mkubalie nijilie pampuchi ya bure, na fedha yangu itafanya mambo yangu na wala sitahtaji fedha yake aise kumbe nimeingia cha kikee mmama anadhiki huyu loh!

Yaani kilasiku haishiwi shida najuuta hata kwanini nimeingia huku maana sio kwa mamizinga haya loh! Nimeamua kumsemvu salt mamy maana kakosa sifa yakuitwa sugar mamy na hapa natafakari njia nzuri yakuachana kwa amani maana anaonekana ni mswahili haswaaa mwenye mbinu nzuri anisaidie ili nichomoke kwa amani.
 
Back
Top Bottom