young super
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 257
- 315
kuna muda unaweza ona kama kwenye mahusiano unaonewa lakini hapana, mahusiano mpaka yasimame huchuku muda mwingi sana, ni sawa na binadamu au mnyama kunenepa unaweza konda kwa wiki moja lakini kunenepa itakuchuka muda kidogo,,
mahusiano ni kitu kisicho hitaji hasira bali werevu wako ndio nguzo yako, kuna muda tunapenda kuwapangia wapenzi wetu (wakike au wa kiume) kile unachotaka pasina kujua yeye atalichukuliaje..... usitumie simu kuanzia saa nne! ni sawa lakini ushawahi jua anatumia kwa mahitaji gani?
kuwa fala kwenye mahusiano itakusaidia sana wewe kujiepusha na mambo meeengi yaliyo nyuma ya mpenzi wako, pia ukijua mpenzi wako anakudanganya wala usimuache ila furahia kwa kulijua mapema zaidi....
kuna muda inaumiza sana pale unapokua mwaminifu halafu mpenzi wako anakuchukulia ZOBA .... hii kitu huwatokea sana wanawake japo kwa wanaume nako ipo...... mkeo ana mtoto na wewe huna ukiwa unamjali sana mwanae anahisi kama amekuteka akili khaaaaaa kwanini hiiiii...
kumpenda asiyekujali inaumiza zaidi ya kujikata na chupa wakali wa jua kali..USIONE KAMA UNAONEWA UTAMPATA AKUPENDAE KWA DHATI