Kero/Tabia zipi huzipendi kutoka kwa Mpenzi wako?

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,920
122,184
Kama ilivyo kawaida, Sarafu ina pande mbili.

Kila lenye kuwa jema lazima lazima liwe na mapungufu pia.


Kila lenye faida lazima liwe na hasara yake pia.

Ni tabia zipi huzipendi kutoka kwa Mpenzi wako.

Karibuni tudadavue kinagaubaga ili iwe ni funzo na kuweza kujirekebisha kwa wale wenye tabia kama hizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom