James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,765
Katika maisha yangu haitakuja itokee hata siku moja nijichanganye kuoa mwanamke mfia dini. Wengi wao akili zao zipo rigid(hawashauriki). Wakati nipo mwaka wa pili chuo, kuna dada mmoja alikuwa ni rafiki yangu sana, She is cute. Alifikia mpaka hatua ya kuwa ananipikia chakula na kuniletea home kila jioni akitoka kazini. Nilimpenda na yeye alinipenda japo hatukuwahi kutamkiana. Lakini kigezo cha kuwa tu ni mfia dini kilinifanya nishindwe kabisa kumwambia feelings zangu.
Naikumbuka thread ya jamaa mmoja humu ndani kwamba mke wake anashinda sana kanisani, mpaka alishindwa hata kumnyonyesha mtoto wake, Yaani alimzaa akamnyonyesha mwezi mmoja tu halafu akamuachisha. Kwangu mimi huu ni uzwazwa aseee.