Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hvi kwa nini vijana wengi waliochumbiana siku hzi wanaanza kufanya mapenzi kabla ya ndoa?
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Ndoa ni unganiko la kimwili na kiroho baina ya jinsia KE na ME(Hizi za mashoga, *******, mahanithi si ndoa).Huu ndio ushirikiano pekee ambao una umri mrefu katika historia ya Mwanadamu. Kutokana...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
SUMU INAYOUA TARATIBU Shumbana ni msichana mrembo aliyeolewa na kijana mtanashati mwenye kipato cha wastani. Walichukuana kimahaba tamthili ya njiwa manga. Licha ya umri wake kuwa mdogo...
5 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuolewa au kudate single daddy kuna vihunzi vya kupitia. Mama watoto atakuona wewe ni kizingiti cha furaha vya watoto wake. Wapo wengine wanaunda urafiki na mama watoto. Hapa mtakuwa na yapi ya...
12 Reactions
78 Replies
5K Views
Nitaiweka wapi sura yangu mie jamani? Mke wangu mungu kamjaalia, ana chura a.k.a msambwanda wa nguvu. Akipita vijana wa mjini lazima kesho yake wapakwe Salmia ama wafanyiwe massage kuondoa maumivu...
3 Reactions
96 Replies
18K Views
MIMBA NA NDOA ZISIZO TARAJIWA....... Habari... leo naomba tuangazie hili swala japo sio kwa undani lakini litaweza kukufungua ama kukufikisha pale unapotaka... ndoa ni kitu cha kuheshimika kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuchunwa ni ile hali ya mwanaume kugeuzwa ‘grisi’ au kitega uchumi na mwanamke ambaye si mke wako lakini mna mahusiano yanayofanana na hivyo kwa namna moja ama nyingine. Kwa miaka kadhaa sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nadhani kuna mambo mawili watu wanachanganya. #JamboLaKwanza ni kumpiga mke. Mwanamke hapaswi kupigwa kwa sababu yoyote ile. Kumpiga mwanamke sio njia bora ya kumrekebisha. Katika ulimwengu wa...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Siku moja nilimkwaza mke wangu. Nikataka kuomba msamaha lakini nikakumbuka Nisamehe zimekuwa nyingi sana kwa hiyo nikataka kubadilisha style ya kuomba msamaha. Nikaenda sebuleni nikaanza kuomba...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumekua kasumba nyingi sana za kuwasema wanaume wa siku hizi hawajiwezi kabisa hawa wadada wameenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kuwaita wanaume wa namna hiyo kuwa hawana taofauti kabisa na...
2 Reactions
147 Replies
35K Views
Natafuta rafiki wa kike (umri 18-25) wa kupiga nae story ili kuniondolea upweke. PM me.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hvi hii tabia ya kunyonyana sehemu nyeti wakati wa kusex mwanamke na mwanaume imetokea wapi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ?
2 Reactions
67 Replies
56K Views
Habari za jioni, Mwisho wa wiki ndo huo ushafika, weekend mode activated... dancing like will never dance again..... sijui hata ntalala saa ngapi leo. Venue: Tattoo Night Club 24 Central,Cnr...
4 Reactions
12 Replies
937 Views
Habari wanajf! Kama kichwa cha habari. Kinavyojieleza,hiki ni kisa kilichonitokea mwaka 2012, Kipindi hicho. nikiwa. nafanya. Kazi kwenye. Kampuni ya ujenzi, Siku. Mmoja Bosi wangu...
9 Reactions
112 Replies
21K Views
Kwa kutumia utafiti usio rasmi, utakubaliana nami kuwa kumekuwa na mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa mwanaume ukiwa umemuoa mwanamke na kuwa mwili mmoja, basi una kila haki ya kumshika sehemu...
7 Reactions
46 Replies
39K Views
Namuona tu mwanaharakati Joyce Kiria anavyolialia kwenye ndoa yake wakati yeye ndo mwanaharakati wao, sasa sijui harakati zake zinamsaidia nini.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Shetani hapendi kabisa kusikia neno ""NTAKUOA"Tena nahisi masikio yake na macho kaweka sensor popote atakapolisikia au kuliona utakubaliana nami watu waliokaa kwenye mahusiano.muda mrefu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekaa hapa room kwangu nikiwaza na kuwazua, mara nikakumbuka matukio kadhaa ya Hapa JF ya wanawake wengi kujitokeza kuhitaji kuolewa. sio jambo baya kuhitaji kuolewa ila jambo baya ni mwanamke...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nashindwa hata nianze vipi kulielezea japo iwe rahisi kwenu kunielewa. Hapa ninapokaa sasa hivi nina almost 3 months toka nimeamia. Ila baada ya kutimiza mwezi ndio visanga vilianza. Mwanzoni...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…