Msambwanda wa mke wangu unazungushwa magroup ya WhatsApp

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,405
Nitaiweka wapi sura yangu mie jamani? Mke wangu mungu kamjaalia, ana chura a.k.a msambwanda wa nguvu. Akipita vijana wa mjini lazima kesho yake wapakwe Salmia ama wafanyiwe massage kuondoa maumivu kwa namna wanavyo zivunja shingo zao.

Sasa miezi miwili imepita alihudhuria harusi fulani hivi maeneo na ukumbi sitotaja. Wakati wa sebene mke wangu aliona naye si vibaya akijimwaya mwaya kidogo. Mmh! Kumbe kuna washamba wakaanza kumrekodi (haijulikani ni me ama ke aliyemrekodi).

Na kwakuwa ilikuwa usiku na ni harusini alivaa nguo zinazo uonyesha msambwanda kisawa sawa.

Sasa juzi amerushwa kwenye group la kijiwe changu cha kazi. Wanaomjua wakaanza kuniuliza huyu siyo mkeo? Nikawa nakataa lkn ukweli ni kwamba ni yeye.

Sasa waungwana namuondoaje kwenye kadhia hiyo?

NB; Siwezi kuiweka hapa itakuwa nalikuza tatizo badala ya kulitatua
 
Sasa juzi amerushwa kwenye group la kijiwe changu cha kazi. Wanaomjua wakaanza kuniuliza huyu siyo mkeo? Nikawa nakataa lkn ukweli ni kwamba ni yeye.

Sasa waungwana namuondoaje kwenye kadhia hiyo?
:D:D Kwani kuna ubaya gani? Wacha aburudishe walimwengu maana dhiki za Dunia hii zimekuwa nyingi... Au wewe unaumia watu wanapokula kwa macho?
 
Usije jaribu Kuweka Ata picha ake maana Ndo itasambazwa haswaaa so la kufanya ni kumwambia akiwa kwa kumbi izo asijiachie sana
 
Back
Top Bottom