young super
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 257
- 315
MIMBA NA NDOA ZISIZO TARAJIWA.......
Habari... leo naomba tuangazie hili swala japo sio kwa undani lakini litaweza kukufungua ama kukufikisha pale unapotaka...
ndoa ni kitu cha kuheshimika kwa dini zote na hata wale wasio na dini ndio zinweza kua na maana kubwa kwenye maisha yao..
kuna baadhi ya watu huwa na wapenzi wa muda mrefu yaweza fiki miaka hata mitatu lakini mtu alie nae asipate mimba kwa kupenda ama kuto penda... hii inaweza mpelekea mwanaume aende akachepuke japo anapoenda kuchepuka sio pale anapopapenda ila ni tamaa zake tu. SI UNAJUA WANAUME KWA NYEGE MSHINDO? enhee basii
watu wanasema vya kuonja vitamu .... unaweza chepuka mara mbili ukiwa umevaa kondom na mara a tatu ukasema hii kinga ya nn ngoja nivue na ndio hapo majang hutokea...
kuna vile vimsemo viwili vya wanaume huenda kuvitumia saanaa
NTAKOJOA NJE
NAINGIZA KICHWA TUU
Hii misemo hua inawakost sana wanawake.... unaweza fanyanae mapenzi na mwisho wa siku akapata mimba ukaanza kulalamika na mwisho wa siku ikakubidi umuoe tuuu
kumbuka huyu unaemuoa hakuwa chaguo lako umemuoa kwa shinikizo la mimba.... huenda yeye aikupenda ndio maana akakutegea...
kumuoa kumuoa ama kuolewa na mtu ambaye hujampenda hua inaumiza kwa pande zote mbii, kwako na kwa yule ukie kua nae mwanzo kabla ya kuchepuka
ANGALIA UNAECHEPUKA NAE. NA ANGALIA ULIYE NAE