No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,834
Shetani hapendi kabisa kusikia neno ""NTAKUOA"Tena nahisi masikio yake na macho kaweka sensor popote atakapolisikia au kuliona utakubaliana nami watu waliokaa kwenye mahusiano.muda mrefu wakiambiana ntakuoa wengi hawakufanikiwa tena hata sababu haijulikani. Sababu kuu ni shetani,atatumia watu wa nje au kumrubuni mmoja wenu kuhakikisha hakuna ndoa hata muwe mnapendana kama malaika!
Tunafanyaje sasa? wewe ulieambiwa utaolewa au unaetaka kuoa hakikisha unapolitamka jambo la kuoa au kuolewa usichukue muda mrefu kulikamilisha,Asbh njema.
Tunafanyaje sasa? wewe ulieambiwa utaolewa au unaetaka kuoa hakikisha unapolitamka jambo la kuoa au kuolewa usichukue muda mrefu kulikamilisha,Asbh njema.