Wanawake wanaharakati huwa hawadumu ndoani

Wanawake wanaharakati huwa hawadumu ndoani

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Namuona tu mwanaharakati Joyce Kiria anavyolialia kwenye ndoa yake wakati yeye ndo mwanaharakati wao, sasa sijui harakati zake zinamsaidia nini.
 
Namuona tu mwanaharakati Joyce Kiria anavyolialia kwenye ndoa yake wkt yeye ndo mwanaharakati wao,sasa sijui harakati zake zinamsaidia nn!!!!
Jambo la msingi siku zote, mwanaume hapendi mwanamke mjuaji mjuaji kama huyo dada.
Anazina moto kwa wengine wakati kwake kuna waka moto,!
 
Mimi binafsi sitaki mwanamke wmanaharakati hua wanakua na viburi ukioa yule ujue ujue umeoa mwanaume mwenzio kwenye vizur muende sawa kwenye vibaya yeye kimyaaaaa
 
ni kweli kuwa amekuwa akichezea kichapo kutoka kwa henry,lkn haachiki,na hivi ulivyo yaachia mitandaoni sijui akija amekula maji tope yake atakufanyaje?
 
Hizi kampeni huwa ni kinyume na mafunzo ya ndoa kwa kiasi kikubwa sana,hata huyo Kiria mpaka kuwepo ndoani hadi leo mumewe amejitahidi sana
 
Namuona tu mwanaharakati Joyce Kiria anavyolialia kwenye ndoa yake wakati yeye ndo mwanaharakati wao, sasa sijui harakati zake zinamsaidia nini.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kufanya harakati zako mitaani na kubaiolojika Kitandani mbele ya Mkuyenge unaotitia kunako.
 
Back
Top Bottom