Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar za weekend Napenda kuwauliza wanaume kwann hamtaki kujibu hili swali tukiwatext alafu naona mmejaza thread za kuogopa kupigwa mizinga ya x-mas na mwaka mpya. Hata kupiga simu saivi...
9 Reactions
215 Replies
23K Views
Wakati nilipokuwa na umri mdogo kule kijijini nilikuwa nimezoea mara nyingi sana wakati tukiwa kwenye harakati za shambani au kutafuta kuni huku nikiwa na baba na vijana wengine wakubwa,walipokuwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wadada aliyepo Dar es salaam ana vifaa vya saloon na naviuza ani Pm. Tukikubaliana mauzo yatafanyika kwa kufata taratibu zisizokuwa na madhara kwa sote
0 Reactions
0 Replies
877 Views
It was just the other day listening to Victoria's* story on the roof of a Manhattan high-rise that I realized something I'd rather not have realized. I've never been in love. "I'm moving to...
2 Reactions
109 Replies
6K Views
Juzi nilibahatika kukutana na ndugu yangu ambae tulipotea takribani miaka sita au saba hivi, mara baada ya kusalimiana nikagundua anajambo ambalo linamsumbua kichwani mwake mana Mungu kanijalia...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba kujua hili jambo je nikweri wanawake wasomi,au wenye nyazifa kubwa huwa wanaogopwa na mwanaume,na huwa hawaolewi kuna ukweri katika hili
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Hali ni ngumu kweli kweli kifedha, nikaamua nimcheki jamaa yangu tuliyesoma nae primary school anipe ramani maana yeye yuko vizuri licha ya kwamba hana biashara lakini mambo yake yamwendea...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jf, Inasikitisha kidogo lakini ndio mambo ya duniani. Huyu kijana alioa kwenye familia moja ya kitajiri kiukweli katika familia ile mabinti wa yule Mzee hawajui shida ni nini,Kuna...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za jumapili ndugu zangu..! Katika mihangaiko ya hapa na pale suala la familia ni muhimu. Nipo katika harakati za kuyafanya mahusiano yangu na binti wa kisukuma kufikia hatua ya ndoa. Jambo...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Aki nnini hii Dunia mbona ako anakandamiza mabibi na mashori kwa mtaa. Sasa aki mashori niwengi ako anapatwa single bado tena wana engeza na Samanta. Aki hii dunia ni nini... sasa K ya samantha...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Unakuta mtu amesalitiwa kwenye mapenzi anasema "yani wanaume wote baba yao ni mmoja." Ama anakuwa na wanaume wawili alafu wakimtenda yeye hajioni lakini anasema "wanaume si watu wazuri ni...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wa salaam. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza Wana jamvi, Kuna mdada ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa mda Sasa na ilifikia hatua nikapeleka mahari japo nusu ili nimuo. Siku za karibuni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
2010:London, UK Ilikuwa jumamosi fulani hivi amazing summer, niliamua kumtembeza rafiki yangu ambae alikuwa mgeni mjini. Ikabidi tufanye mambo ya double date. Mimi nilikuwa na gf yeye hana kwahio...
13 Reactions
57 Replies
4K Views
. ..... Leo utuambie hapa utachukua maamuzi gani freemason kadata kwako au umedata kwake... Je utafunga nae ndoa?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wanaume waliyooa wanawake wa Darasa la Saba, wana Furaha zaidi katika Ndoa, Kuliko waliyooa wasomi. #Mytake, Nyie jifanyeni mnakuja hapa kutafuta wachumba na Vigezo Elimu Kibao, Mtaishia Kupata...
1 Reactions
1 Replies
787 Views
Hamna huzuni kubwa kama umepata mtoto mpyaaa, mboga nonoo ya dar ukamuomba aje ulipo mkoani akakwambia nywele sijasuka ukatuma hamsini ya kusuka,nauli arobaini kufika siku hiyo hoteli na lodge...
7 Reactions
70 Replies
8K Views
Huyu dada toka nimemfahamu ni mwaka sasa nampenda naye anaonekana kunipenda ana umri wa miaka 23 na ni bikra mtoto mzuri kwa sura umbo na rangi ana kila vigezo vya kupendwa na wanaume 8 katika 10...
13 Reactions
138 Replies
15K Views
Habari. Jamani ujumbe ndio huo nadhani wahusika watakuwa wameupata sina haja ya kuongea mengi. Jumapili njema!
0 Reactions
5 Replies
781 Views
Maana kuna mwanamke nliachana nae na alikua amenipa vitu vingi kama mpenzi wake ila siku nlioachana nae alitaka kitu kimoja nikampa vyote alivonipa Je? Nime yumba au...?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
MAPENZI YA DHATI KATIKATI YA UMASIKINI. SIKU moja wakiwa wamejilaza kitandani, mke alimwomba mumewe amnunulie chanuo kubwa kwa ajili kuchania nywele nyingi ili kuzipendezesha. Kiuchumi, hali ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…