Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana. Achana na akina Wema Sepetu. Achana na akina Mobeto. Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya. Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
16 Reactions
57 Replies
4K Views
Ni wikendi uko kiwanja (zile bar zenye lodge) na mwenzi wako mnapata moja Moto,moja baridi. Ghafla mnajikuta mnahitaji faragha kutokana na changamoto mbili tatu zilizowakumba haraka haraka kwa...
26 Reactions
141 Replies
12K Views
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili...
32 Reactions
115 Replies
4K Views
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani.. Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto. Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya...
22 Reactions
122 Replies
4K Views
Siku hizi wanawake hawakati viuno kabisa kitandani. Na hata wakikata viuno ni vigumu na havikatwi kwa ustadi kama zamani. Ndio maana ndoa hazidumu. Mwanamke unatakiwa uchangamke kwenye tendo la...
9 Reactions
401 Replies
39K Views
Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Habar ndugu zangu mimi n kijana mwenye umr wa miaka 29 , mrefu cm 179 mweusi kidogo ni mtumishi wa umma nahtji msichana mkristo, awe na umr kuanzia 20-25, nichek pm
3 Reactions
24 Replies
1K Views
80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao. Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote...
4 Reactions
13 Replies
809 Views
Naam kama heading inavyosema kwakweli kwasasa nimeanza kujichukia hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi. Nianze nyuma kidogo ili uelewe kwanini yamenifanya kua katili na pengine inaweza ikawa...
17 Reactions
68 Replies
11K Views
Igweeeee.... #No sperm, no child support!!! Masingo maza muanze kufanya kazi,dezodezo inakaribia mwisho. Ni mwendo wa kimasihara mpaka mkome.Huku chanjo ya HIV huku Njia ya uzazi wa mpango.Ni...
1 Reactions
5 Replies
400 Views
Siku ipo nitatoa somo la ndoa ila ipo hivyo, mke wako na mme wako ni mwili mmoja wewe ni yeye damu moja ndio maana mnatumia mwili kupata watoto. Ikitokea mama anaumwa na mke wako kwa wakati mmoja...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Hellow Ni kitu gani kilikufanya au kili mfanya x wako akutafute iwe kwa namba ngeni au namba yake shida ilikuwa nini? Mimi nilimtafuta kwasababu ilikuwa mwezi wa Saba kama hivi baridi kalii af...
7 Reactions
114 Replies
4K Views
Shalom shalom Unakuta mwanaume anajisifu ooh mm siyumbishwi na mapenzi wala sibembelezi mwanamke!!!! Bro ni vile hukumpenda kivileeeee ndo maaana kutowepo kwake kweny maisha yako hakuna...
6 Reactions
49 Replies
1K Views
Naam mambo ya ndani ya nyumba, Nimekaa kibarazani akaja na mkewe wakaniomba nisuluhishe hili jambo, mwenyewe bado natafakari ila nimewaomba warudi nyumbani na jamaa aendelee kwani yeye ndiye...
1 Reactions
12 Replies
461 Views
Kuishi Mbali na Mwenza wako ni tabu tupu.. Awe ni mke/mume , mchumba au mpenz . Kama kweli kuna upendo baina yenu basi jua kuna wivu. Maana kuna muda ratiba ya mwenza inaweza kwenda tofauti na...
3 Reactions
7 Replies
484 Views
Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar, Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko...
28 Reactions
129 Replies
7K Views
Habari waungwana! Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu. Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa...
3 Reactions
15 Replies
742 Views
Mbali na mapenzi na sogeza nikae, Kwenye mahusiano nimegundua swala la Matumizi ya Pesa kama Familia lazima Tujadiri kabla ya Ndoa bila hivo huko mbele ni rahis sana kushikana mashati... Imagine...
0 Reactions
10 Replies
492 Views
Back
Top Bottom