Mwogope mwanadamu hasa wafia dini ni noma sana

Mwogope mwanadamu hasa wafia dini ni noma sana

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,534
Reaction score
10,759
Jamani usisikie kitu kinaitwa walokole.

Nilikuwa na rafiki chuo nilitokea kumuamini kisa anajua maombi.

Nilikuwa naye beneti sana kila ijioni anaenda maombi . Muda nwingi ukimpigia yupo kwenye maombi tu nikawa wala sina hofu naye kabisa .

Sasa chakushangaza baada ya miaka kadhaa tokea 2011 tumalize field, Mpaka naleo ndio nimekuja kumjua tena ni baada ya maombi ya kila wakati kuwa alikuwa mshirikina balaa. Nilipoona hilo nikamshirikisha ostadh fulani kwa maombi zaidi.

Baada ya masiku kadhaa akajitokeza tu mahali nilipo na akanidhirishia kuwa yeye hakuwa mlokole kweli bali lichui kwenye ngozi ya kondoo.

Alinifunga nisijitambue ,nisidumu kazini wala kuolewa. Ila adhabu yangu nikuwasomea albadiri hawa wabaya tu wawe vichaa ili iwe fundisho.

Nimechelewa mengi sana kisa wao. Na hata humu wapo wengi tu ila kuwajua kwa sura ni ngumu sana.
Imagine mtu hajawahi kukuona anakuona wivu humu jf anaanza kukutukana kwa Id ingine kisa tu mtu anakuonyesha ushirikiano.

Alisema wameshirikiana nani na ni wivu tu zakijinga.
Mtu unamuamini kumbe ni mshenzi tu inauma sana.....
 
Mada na kichwa cha habari ni tofauti.

Ushasema alikuwa fisi kwenye ngozi ya kondoo bc huyo sio mlokole tena mana alikuwa na target yao, ungesema alikuwa mlokole Ila anakitembeza huko bc nngekubaliana na ww ila ushirikina ni jambo lingine.
 
ℍ𝕒𝕪𝕒 𝕞𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕪𝕒 𝕦𝕗𝕚𝕒 𝕕𝕚𝕟𝕚 𝕚𝕥𝕒𝕗𝕚𝕜𝕒 𝕞𝕚𝕒𝕜𝕒 𝕪𝕒𝕥𝕒𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕪𝕒𝕟𝕒𝕤𝕠𝕞𝕨𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕙𝕒𝕕𝕚𝕥𝕙𝕚 𝕫𝕒 𝕜𝕚𝕫𝕒𝕞𝕒𝕟𝕚 𝕫𝕚𝕤𝕚𝕫𝕠𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕒𝕟𝕒 𝕪𝕠𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕚𝕝𝕖.
𝕂𝕒𝕞𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕧𝕪𝕠𝕤𝕠𝕞𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕞𝕓𝕒 𝕫𝕒𝕞𝕒𝕟𝕚 𝕜𝕦𝕟𝕒 𝕛𝕒𝕞𝕚𝕚 𝕫𝕚𝕝𝕚𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕫𝕚𝕟𝕒𝕔𝕙𝕠𝕞𝕒 𝕞𝕒𝕓𝕚𝕟𝕥𝕚 𝕨𝕒𝕕𝕠𝕘𝕠 𝕞𝕠𝕥𝕠 𝕚𝕝𝕚 𝕜𝕦𝕚𝕡𝕒 𝕞𝕚𝕦𝕟𝕘𝕦 𝕪𝕒𝕠 𝕤𝕒𝕕𝕒𝕜𝕒.
ℍ𝕒𝕥𝕒 𝕞𝕚𝕒𝕜𝕒 𝕪𝕒 𝕓𝕒𝕒𝕕𝕒𝕖 𝕙𝕒𝕪𝕒 𝕞𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕪𝕒 𝕞𝕚𝕤𝕚𝕜𝕚𝕥𝕚 𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕜𝕒𝕟𝕚𝕤𝕒 𝕚𝕥𝕒𝕠𝕟𝕖𝕜𝕒𝕟𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕦𝕡𝕦𝕦𝕫𝕚.
 
Ninaishi nao hapa ndan walah ni watu wenye roho mbaya iliyopitiliza wafitina sana na majungu kedekede looh kama huna roho ngumu huwez ishi nao
Toka asubuh wapo kabisa kurud saa mbili usiku mmh mungu anawaona
 
ℍ𝕒𝕪𝕒 𝕞𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕪𝕒 𝕦𝕗𝕚𝕒 𝕕𝕚𝕟𝕚 𝕚𝕥𝕒𝕗𝕚𝕜𝕒 𝕞𝕚𝕒𝕜𝕒 𝕪𝕒𝕥𝕒𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕪𝕒𝕟𝕒𝕤𝕠𝕞𝕨𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕙𝕒𝕕𝕚𝕥𝕙𝕚 𝕫𝕒 𝕜𝕚𝕫𝕒𝕞𝕒𝕟𝕚 𝕫𝕚𝕤𝕚𝕫𝕠𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕒𝕟𝕒 𝕪𝕠𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕚𝕝𝕖.
𝕂𝕒𝕞𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕧𝕪𝕠𝕤𝕠𝕞𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕞𝕓𝕒 𝕫𝕒𝕞𝕒𝕟𝕚 𝕜𝕦𝕟𝕒 𝕛𝕒𝕞𝕚𝕚 𝕫𝕚𝕝𝕚𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕫𝕚𝕟𝕒𝕔𝕙𝕠𝕞𝕒 𝕞𝕒𝕓𝕚𝕟𝕥𝕚 𝕨𝕒𝕕𝕠𝕘𝕠 𝕞𝕠𝕥𝕠 𝕚𝕝𝕚 𝕜𝕦𝕚𝕡𝕒 𝕞𝕚𝕦𝕟𝕘𝕦 𝕪𝕒𝕠 𝕤𝕒𝕕𝕒𝕜𝕒.
ℍ𝕒𝕥𝕒 𝕞𝕚𝕒𝕜𝕒 𝕪𝕒 𝕓𝕒𝕒𝕕𝕒𝕖 𝕙𝕒𝕪𝕒 𝕞𝕒𝕞𝕓𝕠 𝕪𝕒 𝕞𝕚𝕤𝕚𝕜𝕚𝕥𝕚 𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕜𝕒𝕟𝕚𝕤𝕒 𝕚𝕥𝕒𝕠𝕟𝕖𝕜𝕒𝕟𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕦𝕡𝕦𝕦𝕫𝕚.
Dah hao ni watu wabaya sana WALOKOLE
 
Kuna jamaa tulisoma naye alikua mlokole sana ile sana ndio mwenyekiti wa maombi kwenye fellowship,basi sikumoja jamaa alichelewa shule,mwalimu wazama katika kutoa adhabu ya viboko jamaa akagom,akamkunja shati mwalimu na kuanza ku mkwida,wadau wakaingilia kati akaitwa ofsinj akaambiwa alete mzazi,jama akadai anaishi mamake mgonjwa na babake kiwete hawezi kutembea.

Basi akatafutwa mwanafunzi anayefahamu kwao,akapewa apeleke barua ya wito,cha kushangaza siku ya wito akaja baba yake mzima na miguu yake miwili anatembea,kupata habari ya kuwa mwanae alidai yeye ni kiwete mzee wa watu alilia sana,basi ikaitwa assemble wanafunzi wote tukadikoliza ile kesi tulishangaa sana,basi jamaa alipigwa mboko kuanzia mzazi na kila mwalimu,na kupewa suspesion juu.

Wafia dini wana mengi usiwaamini,hasa akiwa mkinya sana.
 
Mada na kichwa cha habari ni tofauti.

Ushasema alikuwa fisi kwenye ngozi ya kondoo bc huyo sio mlokole tena mana alikuwa na target yao, ungesema alikuwa mlokole Ila anakitembeza huko bc nngekubaliana na ww ila ushirikina ni jambo lingine.
Simu tecno
Kichwa cha chaja infinix
Usb wire Vivo
Earphone samsung
Kava Itel
 
Kuna jamaa tulisoma naye alikua mlokole sana ile sana ndio mwenyekiti wa maombi kwenye fellowship,basi sikumoja jamaa alichelewa shule,mwalimu wazama katika kutoa adhabu ya viboko jamaa akagom,akamkunja shati mwalimu na kuanza ku mkwida,wadau wakaingilia kati akaitwa ofsinj akaambiwa alete mzazi,jama akadai anaishi mamake mgonjwa na babake kiwete hawezi kutembea.

Basi akatafutwa mwanafunzi anayefahamu kwao,akapewa apeleke barua ya wito,cha kushangaza siku ya wito akaja baba yake mzima na miguu yake miwili anatembea,kupata habari ya kuwa mwanae alidai yeye ni kiwete mzee wa watu alilia sana,basi ikaitwa assemble wanafunzi wote tukadikoliza ile kesi tulishangaa sana,basi jamaa alipigwa mboko kuanzia mzazi na kila mwalimu,na kupewa suspesion juu.

Wafia dini wana mengi usiwaamini,hasa akiwa mkinya sana.
Na alikuwa mkimya yaani sijaamini kuwa ni yeye
 
Vaa kanzu na baragashia kwanza, chukua na picha ya marehemu na daftar tukaombe ombe lambilambi kwa wafanya biashara mtaani 😂😂😅😅
 
Dah hao ni watu wabaya sana WALOKOLE
Kwanini Moderator , Active Paw mnaruhusu bullying za imani ya watu hususani sisi Wakristo?

Kuna nyuzi nyingi za kukosoa na kubully imani ya kikristo mnaziruhusu. Sasa sijui mnafanya makusudi au alafu nyuzi hizi za kidini baada ya kupeleka jukwaa la dini mnaacha kwenye majukwaa mengine ila nyuzi za upande wa pili huwa mnasingizia mmepeleka jukwaa la dini na mleta uzi hapewi access ya kuingia huko.

This is unfair. Kama mtu kafanyiwa ubaya na mtu binafsi yeye anahusisha na kuleta allegations kwa imani nzima. Yaani shehe akibaka, unashutumiwa uislam na sio shehe.

Angalieni hili limekuwa kwazo kwa imani za wengine.
 
Back
Top Bottom