Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta marafik wakucht nao.kubadilishana mawazo ,kama uko interested ni pm
3 Reactions
18 Replies
2K Views
habari ndugu zangu. Nataka kuhamia morogoro na sijawahi kufika. Naomba kwa wakazi wa morogoro tutawasiliane kwa namba 0752514927. Au godwingerald34@gmail.com. Naomba saaana msaada wenu ndugu zangu.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
huyu bint ni muda ananipenda sana.. amekuwa akiniletea letea masharti kuhusu bikra yake. lakini jana mwenyewe kaniletea nihangaike nayo pasipo kuzingatia masharti yake. maana vigezo tayari...
2 Reactions
73 Replies
12K Views
Wanawake bwana kasema ndugu Zake hawapendi aolewe sasa hivi mpaka amalize degree , nikaona miyeyusho, Akaanza kuondoka taratibuuu nami nikakunja mkono taratiiibuu, nilichukua hatua zifuatazo 1...
82 Reactions
393 Replies
51K Views
Hii ni kama mara ya 7 hivi nakutana na tukio kama hili. Wanawake wakiamua ni smart sana kichwani. Mpaka waamue. Mwka jana mwishoni nlikuwa karibu na dada mmoja tukawa tunadate.alikuwa na wivu uso...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mdada ukitongozwa kabla haujamkatalia mwanaume kwa nyodo. Soma Isaya 4:1 inasema hivi; "Wakati huo wanawake 7 (saba) watamvamia mwanaume mmoja (1) na kumwambia "chakula na mavazi tutajitafutia...
10 Reactions
23 Replies
5K Views
Mwaka flani nikiwa kikazi mkoa flan nikakutana na dada mmoja mwenye kuvutia sana. Actually nlienda tu kwa miezi kadhaa kwa ajili ya kazi maalum. Basi allahamdulilah nikasema si haba nami...
42 Reactions
265 Replies
30K Views
Ni wamama wawili sasa nimeona wamebadilika sana hapa kazini. Kila mtu kwa nafasi yake analalamika kuwa sasa ana hard time mahitaji ya kimwili hapati na mumewe yupo Dodoma. Ushawishi wao ni...
31 Reactions
153 Replies
20K Views
Niliamini mwanaume sio mtu lege lege, hivyo nilijikaza na kuamua kwenda kazini, kutokana na kufanya kazi juani na kwa muda mrefu nilijihisi kuchoka na nilijisikia vibaya, Nilienda kuomba ruhusa...
7 Reactions
32 Replies
12K Views
Hapo vip!! Mimi katika research zangu nimegundua wanaume handsome na beatifuly au Pretty girls hawana roho mbaya (roho ya zakitatili) Katka research zangu nimegundua sura ya mtu inaweza...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Tumezaliwa watatu wa kwanza ni wa kiume, wa pili mimi na watatu ni wa kike hawa wawili wananitenga na kunibagua hawanithamini wala kunijali kananiita hopeless huyu kaka yetu hana kazi na mimi sina...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari JF Naomba kuuliza Eti bao la usingizin linavibe sana kuliko lakawaida. Maana kuna siku niliwahi kumsikia Msanii Fid q akimsifia demu wake kuwa anapenzi tamu kama bao la usingizin...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
1, Miss Natafuta 2,Shunie 3, red apple 4,Curious gal 5, Miss Curious 6, FaizaFoxy 7, Evelyn Salt 8, miss chagga 9, Numbisa 10,pretty gal 11, kapeace 12, Sky Eclat 13, Mama Sabrina 14, jikeshupa 15...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Wanawake wa kibongo wengi wana roho mbaya,wabinafsi,wamekosa utu Unamkuta mwanamke hana kazi yupo yupo tu unamwoa unamtafutia biashara anaifanya anafanikiwa mwisho wa siku anaanza kugongwa nje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wadau sina haja ya kujaza porojo kibao kwenye thread hii ila ukweli uko wazi. Ninadhani ni wakati muhafaka sasa kwa bunge letu kupitisha muswada wa mabadiriko ya kiapo cha ndoa ili tuingize...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kwema, Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka ila nimeshindwa. Nina...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba katika hatua fulani ya kuolewa mwanamke huchagua sana wanaume. Kibaya sana ni pale mwanamke kushindwa kumkataa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi na hufikia hatua...
24 Reactions
108 Replies
14K Views
ISHI TOFAUTI, Unapokosewa au kukosea jifunze kuzuia fujo, mahasira, maamuzi ya kukurupuka, lugha chafu, ubabe ubabe, ngumi mkononi, kuchepuka makusudi umkomoe mtu, kuchunia watu na mabifu ya hapa...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Tulikuwa ndo kwanza tumeingia chuo ila tayari nilikuwa nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa wapya. Wengi wa marafiki zangu walikuwa watoto wa kimji na wengi wao walijiona wajanja kuliko mimi. Kitu...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Wanaume wa miaka hii wanaboa kweli yani naweza sema wengi ni midume suruali kwani haiwezekani mtu yupo kifuani anahema kwa kasi kama anataka kukata roho kulikoniii? Istoshe kabla ya kufunga...
24 Reactions
295 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…