Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Oti Kate, Jan 31, 2012.

 1. Oti Kate

  Oti Kate Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

  Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!
   
 2. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inahitaji moyo. Hapo lazima ukitoka tu pressure inashuka na kupanda. Hapo dada yangu ndipo kaugonjwa kamapokuja kwa mwenzio kutokana na makalio yako. Ingekuwa mimi kila unakokwenda niko nawe nalinda mali zangu hadi kieleweke.
   
 3. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Pole sana...kama hayakuwa makubwa wakati baba watoto anakufukuzia.....ni kitu gani uliyapaka au kutumia yakaanza kuumuka...Ukweli ni kwamba hata wale wanazaliwa na makalio makubwa haikubaliki kuwa umejaaliwa bali inakubalika kuwa umetumia dawa za kuyakuuza. pole sana:juggle:
   
 4. M

  Mzee wetu Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee lazima awe na wasiwasi kwani wahitaji wa makalio makubwa wameongezeka, mhakikishie usalama wakeeeeeeeeeeeee.

  :A S-heart-2:
   
 5. M

  MAGATA Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana dada angu,inabidi uzoee,jichukulie kawaida na wala huo si ugonjwa wala usihuzunike ukaja kuugua presha bure.
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni ugonjwa wa kutopata choo vizuri.
   
 7. Ngararimu

  Ngararimu Senior Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  kama mtoto wako ni wa kike fikiria kumpiga chini baba watoto wako nitafute mimi nitakuoa nitamuadopt huyo binti yako na kutunza na nita kupatia gari ya kutembelea kuwakata ngebe hao wanaume na wanawake wanaolikatia shingo taarabu lako bibie. Thamani ya kondoo ni mkia wake bana!!!!!!
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mi mwenyewe my wife analo linanitesa kweli kila saa nikiwa nae hawaachi kumtazama, ila linanipa kaujiko bwana!
   
 9. THE STRONG

  THE STRONG Senior Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huo s ugonjwa ila lazima jamaa awe na wivu maana mkia balaa kw sasa
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umemalizia vizuri sana wapo wanaokutamani ila hawakupendi kama mumeo anavyokupenda wanataka tu wakutumie waishie zao so kuwa mwangalifu na ni vyema kama umejitambua kwa hilo
   
 11. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  ha ha ha ha, nimekumbuka gari ya mshua nilikua imeandikwa "NO MONEY NO WOWOWO"
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Weka picha ili tujue ukubwa wa tatizo......................
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Makalio sio ugonjwa dada yangu ni maumbile ya mtu.
   
 14. jaridotcom

  jaridotcom Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana ila kama atakuacha mm niko tayari kukuoa maana napenda sana wanawake wenye makalio makubwa sitojali unamtoto ila kama utanipenda kwa dhati....kwa hili sitaniii wewe ni PM tu utaona mwenyewe...wanaume wengine bana yaani anaona kero kwa wewe kujaliwa makalio hajui wengine ndo tunatafuta ama kweli watu tuko tofauti.
   
 15. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  paaa!! paaa!!! paaaa!!!! jamaa yako hapendi mlio huu....
  inaonekana shem hawezi kulitumia bolibo lako duh....ni PM tumwibie basi......
   
 16. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Duh, pole na hongera..bt is dis a gosip or a joke? Bt i insist hongera, b proud 4 hu ua.
   
 17. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Shine nimependa ushauri wako hata mimi nafikiri hivyo2 2.pole xana.
   
 18. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera sana, napenda sana hii kitu...
   
 19. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nahisi jamaa anaumwa huyooo! Hebu ni PM mpemba nipo hapa nitakupa ushauri nasaha.
   
 20. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye nyekundu pananitia shaka. Siyo za kichinachina kweli zimekuponza?
   
Loading...