Kwanini ukimbusu mtu unafumba macho?

Kwanini ukimbusu mtu unafumba macho?

Chogotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
236
Reaction score
105
Naomba Miongoze Kwa Hili...
Pale mtu anapomkisi mtu sana sana mpenzi wake yaan wakat wa romance yaan denda basi lazima ufumbe macho ni nn shida?
 
Kwakuwa mnajua kitendo ni haramu kimehararishwa kwa walio katika ndoa harali macho yenu yanawasuta na kuwakumbusha kumrudia mungu kwani hayataki kuona uchafu huo
 
Duh....mapenzi uchafu/ukichaa jamani. Hebu fikiria mtu na akili yako unakula mate ya mtu mwingine! Mbaya huwa inakuja automatically aisee....hakuna muda wa kujiuliza/kutafakari suala la usafi hata.

Mbayaaaaa!
 
Hisia mwanangu mwenyewe busu bila kufumba macho halina maana yoyote. Busu linasikiliziwa akilini na lazima ufumbe macho kama unasali vile ndio utaipata thamani yake vizuri
Ndio maana Aishawarya Bachchan (Mke wa mtoto wa Amitabh BAchchan) alipokisiana na mmoja wa watu wake (yeye Aisha) mama mkwe (Jaya) mama yake Abisheki (mumewe Aisha) aliwaka mno (like why you want to feel it???
 
wewe utakuwa mdosi au house gelo wa wadosi
 
Hisia mwanangu mwenyewe busu bila kufumba macho halina maana yoyote. Busu linasikiliziwa akilini na lazima ufumbe macho kama unasali vile ndio utaipata thamani yake vizuri
ahahaaa mkuu umetisha sana na nmekuelewa aisee
 
Kwakuwa mnajua kitendo ni haramu kimehararishwa kwa walio katika ndoa harali macho yenu yanawasuta na kuwakumbusha kumrudia mungu kwani hayataki kuona uchafu huo
hata kumbusu mama shavuni ni haramu?
 
Duh....mapenzi uchafu/ukichaa jamani. Hebu fikiria mtu na akili yako unakula mate ya mtu mwingine! Mbaya huwa inakuja automatically aisee....hakuna muda wa kujiuliza/kutafakari suala la usafi hata.

Mbayaaaaa!
si wote wachafu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom