juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kwenye mapenzi kuna mambo mengi sana. Unaweza ukawa na mpenzi kwa sababu tu ya mazoea na sio kwamba unampenda au anakuridhisha kunako tendo la ndoa.
Sasa kama wewe mwanaume una mpenzi wako na umedumu naye muda mrefu na unakojoa chini ya dakika saba kaa ukijua kwamba huyo mwanamke humridhishi(hafiki kileleni) ila yupo na wewe kwa sababu tu ya mazoea. Maana utafiti unaonesha kwamba mwanamke hufika kileleni si chini ya dakika 7 tangu unavochomeka dudu lako na kuanza hizo nje ndani zako.
Sasa kama wewe dakika 2 au moja ushamwaga elewa kabisa unatwanga maji kwenye kinu.
NB: Mapenzi ni ubunifu.