Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Vipi Hali . Please leo nataka tuzungumzie kuhusu mama mkwe . Mna mmpa heshima gani as rafiki ? au unammpa heshima kama mama yako mzazi ? au ni wa kupita tu ? Maana yake kuna wengine wanawachukia...
1 Reactions
118 Replies
13K Views
Mimi naona kuwe na uwezekano wa kufanya jambo kama hili kama umemchoka mwenzako, kama huwezi kumuuza basi tafuta mdau uingie naye ubia.... For sale: nagging wife, very high maintenance A...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Are you a chubby girl in need of some passionate pleasuring and love from a very well endowed guy? Do you want to throw your head back as you let me kiss between your legs, my hands roaming your...
1 Reactions
8 Replies
810 Views
Kwa Utafiti wangu; Mwanamke Ukijisifu kuwa una chura basi hata bwawa unalo maana hata cku moja chura hawezi kuishi nchi kavu.Ni wachache sana wanaoweza kuishi nchi kavu (Hawa ndo wanaojielewa)...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya kusikia story nyingi hapa JF na mimi nikaona nianze kuwavizia. Kuna dada mmoja huwa ana-saloon mitaa ya karibu na mimi na ana ujauzito. Week iliyopita nilipita maeneo ya ofisi yake...
12 Reactions
116 Replies
12K Views
Walipoulizwa kwa nyakati tofauti tofauti kwanini hawajamuoa bi dada huyu licha ya kuwa na uwezo wa kifedha na maadili mema, wameeleza haya; ``Ana adabu zote bi dada huyu, na ana `wadhifa` [hela]...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani nimepata mtoto fulani mkali sana mpaka sasa naona hajawahi niomba hata mia kiukweli ni faraja sana maana siku hizi watoto wa kike na pesa balaa lakini tatizo najifikiria kumpa kahela fulani...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Yahni siamini kama mpaka sasa hivi imekatika buku mbili hivi hivi kwa ajiri ya kulipia toilet tu...:) Sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu kuanzia muda huu nimesitisha kutumia kinywaji cha haina...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Kwanza niwatakie heri ya krismas na mwaka mpya Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka 2017 siku hii ya leo ningependa kuwataka Wanaume wenzangu wote wa jf na nje ya jf hii tabia aliyoonyesha huyu kijana...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Leo asubuhi nimemsikia dada mmoja kutoka Rita akizungumzia talaka ni kwamba talaka zinaenda zikiongezeka akatoa takwimu mwaka 2016 kulikuwa na talaka 110 zilizosajiliwa na RITA mwaka 2017 kulikuwa...
6 Reactions
74 Replies
5K Views
Kiukweli sijui tatizo nini ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana sipendi hawa mabinti wadogo tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
Habarini wana jamvi. Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa. Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
1 Reactions
164 Replies
13K Views
Salaam sana, Naandika haya nikiwa siamini kabisa huyu msichana wa hapa mtaani anayesifika kwa kugawa papuchi kwa kila mtu cha msingi pesa na pia hata bure anaweza kumtunuku mtu, cha ajabu mimi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habar wana JF, Kuna huu usemi ambao upo sana kwenye jamii tunayoishi inaweza kuwa hata wewe ulishawahi kusikia kuhusu hii ishu kuwa "kuna baadhi ya wanawake/wadada wana nuksi" yaani pale...
3 Reactions
50 Replies
9K Views
Habarin wanajf Katika observation niliyofanya katika jamii nimegundua mara nyingi wenzi wa ndoa hasa wa muda mrefu, ikitokea mmoja amefariki basi aliyebaki haipiti muda mrefu anafariki pia...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Kwanza kabisa niseme tu kuwa tangu nimejiunga JF Leo ndio mara ya kwanza Na post kwenye hili Jukwaa... Pili, sababu ya kuandika Uzi huu ni baada ya kusoma post ya member mmoja humu akidai kuwa...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu! Kuna mwanamke msumbufu kwenye ndoa kavuruga ubongo wa mumewe ili apewe talaka hatimae akapewa talaka. Juzi karudi eti wagawane Mali mume kamwambia nyumba ya watoto hivyo hakuna...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, Kama nivyoeleza hapo juu, Kwa mimi binafsi huwa katika kutafuta warembo nimekua nikianza kutamani then ndio napenda yaani kutamani ndio swali la...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar zenu Bila kuwachosha,Baada ya kusota sana mjini kwa kutafuta kibarua nilikata tamaa kabisa ya kupata kibarua na kuamua kurudi kijijini,kama mnavyojua familia zetu nyingi za kiafrika mtu...
6 Reactions
136 Replies
14K Views
Habarini wana JF.. Kama kichwa kinavyojieleza hapo chini. Mimi ni msichana wa 26+, Nina mchumba angu nmekaa nae kwenye mahusiano takriban miezi 2, nampenda sana licha ya kua na mapungufu...
13 Reactions
126 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…