Tuliowahi kukataliwa na wasichana vicheche

Tuliowahi kukataliwa na wasichana vicheche

kichwa kubwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
268
Reaction score
216
Salaam sana,

Naandika haya nikiwa siamini kabisa huyu msichana wa hapa mtaani anayesifika kwa kugawa papuchi kwa kila mtu cha msingi pesa na pia hata bure anaweza kumtunuku mtu, cha ajabu mimi nilivyokwenda ni mwezi sasa lakini haelekei na nikimkazia anachukia.

Kwa tuliokumbwa na zahama hii tupeane uzoefu
 
Mwanamke hata awe kicheche vipi kama ulivyotamka...

Ukimjia kwa gia za dharau na kejeli za kuonesha kwamba yeye ni kicheche tuu kama ulivyotamka anakupa za mbavu...


Cc: mahondaw
 
Inatokea..ndio maana huwezi kumuita demu kicheche kama ww hujapiga
 
Kichwa kikubwa Hakuna Mwanamke kicheche
 
Mwanamke ni lazima aheshimiwe hata kama ana tabia gani
 
Back
Top Bottom