Napenda sana wake za watu, tatizo ni nini?

Jum Records

JF-Expert Member
Jun 30, 2014
547
551
Kiukweli sijui tatizo nini ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana sipendi hawa mabinti wadogo tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa.
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
Tulia mkuu utafute wako hiyo siyo sifa Bali nitabia ambayo umeshajijengea ipo siku utakuja kukojoa Dagaa .

waliosema mke wa MTU ni sumu walikuwa na maana kubwa
 
kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
Kuna ajali inakujia....
 
Siku ukichezea kipande cha “nyama ngumu" nadhani akili yako itakukaa sawa!wewe sio gentleman,gentleman hajisifii wake za watu anajisifia kuwa na familia iliyokamilika sio kukimbizana guesthouses na wake za watu.
 
Back
Top Bottom