Ni kweli wanaume wanaanza kutamani ndio wanapenda?

Ni kweli wanaume wanaanza kutamani ndio wanapenda?

future mind

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
221
Reaction score
230
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale,

Kama nivyoeleza hapo juu,

Kwa mimi binafsi huwa katika kutafuta warembo nimekua nikianza kutamani then ndio napenda yaani kutamani ndio swali la uzuri(umbo, zura, wowowo na vingne vinavyoonekana kwa nje.

Ila sasa kwenye kupenda mimi huwa napenda pale tu ninapokuwa nimeshamsoma tabia zake nikipata nzuri basi nitampenda lakini zikiwa mbaya siiwezi nikampenda nitaishia kwenye kutamani tu.

So for me naanzaga kutamani then kupenda sasa nimejikuta kwenye kashkash baada ya msichana niliyekuwa nikimtokea kujua kwamba yeye for the first time nilianza kumtamani au wadau niombe pia kujua maana sahihi ya haya maneno KUTAMANI na KUPENDA.

[HASHTAG]#naomba[/HASHTAG] kuwasilisha
 
hivi ukila asali unaanza kusikia utamu kwanza au ukimaliza ndio unasikia utamu..??
 
Huwezi kupenda kitu bila kuwa na matamanio nacho.

Unaweza kutana na bint mzur ukamtamani lakini usiwe tayar awe mke wako so mkaishia kuchafuana tu sababu humpendi.
 
hivi ukila asali unaanza kusikia utamu kwanza au ukimaliza ndio unasikia utamu..??
Asali asili yake ni utamu kwaiyo ukiwa tunaanza kula tu unategemea kupata utamu naotamu huo utaendelea mpaka utakapo maliza kulamba iyo asali
 
Huwezi kupenda kitu bila kuwa na matamanio nacho.

Unaweza kutana na bint mzur ukamtamani lakini usiwe tayar awe mke wako so mkaishia kuchafuana tu sababu humpendi.
Maana yako ni kwamba na wew unaunga mkono hoja kwamba wanaume tunaanza kutamani then ndio tunapenda ikiwa tu natabia zitakuwa pia nizakutamanisha
 
Usichanganye kutamani na kuvutiwa.

Wengi tunaweka hizi terms kama moja ila ni mbili tofauti.

Ukiangalia porn scene inayoamsha hamu zako, hapo umetamani.

Ukiwa barabarani ukaona binti, ana shape ya hour glass, anatembea kama anaionea huruma ardhi, chura kama wa Arafa, tumbo flat kama Mary.... na ukanotice hizo sifa zots hapo ni umevutiwa.
 
Usichanganye kutamani na kuvutiwa.

Wengi tunaweka hizi terms kama moja ila ni mbili tofauti.

Ukiangalia porn scene inayoamsha hamu zako, hapo umetamani.

Ukiwa barabarani ukaona binti, ana shape ya houe glass, anatembea kama anaionea huruma ardhi, chura kama wa Arafa, tumbo flat kama Mary.... na ukanotice hizo sifa zots hapo ni umevutiwa.
Kama kidgo na mimi naanza kupata mawazo mtambuko kwaiyo vizuri tunavutiwa navyo ila vinavyohamasisha tunavitamani au bado cijaelewa..?
Ila hata kama binti atakuvutia kwa maana ya kuziona izo sifa kinachofwatia ni kumtamani kwaiyo kama maana nyingne mvuto wake ndio utakupelekea wew kumtamani..
 
1- Hapana, hata vibaya vinavutia. Kuna vizuri vina mvuto na vizuri visivyo na mvuto, kuna vibaya vina mvuto na vibaya visivyo na mvuto.

2- Hua tunavutiwa na mtu au kitu ila tunatamani tukio. Utavutiwa na binti, lakini utatamani kumuegesha. Utavutiwa na chura mkubwa ila utatamani kumla jicho.
 
Back
Top Bottom