Habari za jioni Great Thinkers.
Huu unaweza kuwa si wakati sahihi kwangu kuandika kuhusu jambo hili, ila kwa sababu ya tafsiri hasi miongoni mwetu sina budi kulizumgumzia.
Uhaba wa wanaume...
Amani iwe nanyi
Nimekuwa nikipata visa vingi na vyote karibu vinafanana kwa wana ndoa, tatizo nini huko? Mlioko huko tuwekeni bayana,
Tangu mwaka uanze ni ndoa 6 visa vyao ni mwanamke kufanya...
Holla people. .. I hope you had a great weekend. Glory to God mine was superb and it end with a long wire for more than a hour talking sweet nothing......
On the call he gave me request and here...
Mpenzi wako ambaye mmeshakua nae kimapenzi baadae akaamua kutumia kigezo cha kukupiga stop kukutana tena mpaka upeleke mahari kwao ni sahihi? Na hamjakutana kwa miezi 7 au 8.
Salama wakuu,
Leo nimeona niseme tu ukweli maana inakuwa Kama ni desturi sasa.... Huyu brother ni Kama ndoa yake Haina changamoto na siku zote za mwaka yeye yupo peponi. Kitu ambacho naamini sio...
Profesa mmoja wa Chuo Kikuu kimoja hapa nchini, amemfelisha mkewe katika moja ya mitihani yake ambayo Profesa huyo ndio somo lake.
Wenzie walipomuuliza alijibu tu kwa kifupi kwamba anajua mkewe...
Nawaza juu ya huyu msichana, hii tania kaiga kwanini hakuwahi kunipiga vizinga vya ajabu ajabu, Leo nimeshangaa yani bila kujali upepo ulivyo, eti nimpe laki tatu akanunue kitu fulani.
Yani hapa...
Habari wana jamii! Kwanza poleni kwa msiba wa Mzee Kingunge. Niingie kwenye maada. Katika pita pita kwenye familia nyingi nimegundua kama familia (mke, mme) wakiwa na gari moja basi hilo gari...
Wadau,
Nataka nione maoni yenu humu,
Hebu jipime mwenyewe uhusiano wako na mke au mpenzi wako ulienae sasa kuhusu jinsi upendo wenu ulivyo sasa, halafu ghafla likatolewa tangazo la lazima kwamba...
Nilikutana na binti mrembo mwenye chura akanivutia sana kuwa naye,Nilikuwa na mipango ya kuoa ila sio yeye.Ila baada ya mapenzi kunoga akshika ujauzito wangu.Nikamwambia sitaki watoto ila kama...
"Jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa.yeye yuko Mkoani mimi niko chuoni Dar es Salaam kimasomo elimu ya juu"...
Sifa
-Umri 25-32
-Elimu kidato cha 4 na kuendelea
-Ambaye hajawahi kuolewa (Km ana mtoto basi awe 1 tu)
-Dini yyte
Sifa zangu.
-Umri 30s
-Elimu chuo (Degree)
-Nimejiajiri
-Makazi Dar
-Mkristo...
Waswahili wanasema kila masika na mbu wake !.
Wanaume tulianza kusifia shingo kama twiga sasa hivi shingo ndefu zimebaki za kupigia chabo tu!...
Tukahamia mguu wa bia! sasa hivi miguu yako...
Wadau,
Maisha yangu toka mdogo yalikumbwa na migogoro ya kinafsi na kifamilia. muda mwingi sikua kwenye mahusiano mazuri na mama yangu mzazi.
Sasa muda mwingi baada ya kuanza maisha ya...
Copy and pasted kama ilivyo.............................
Kama wewe ni binti na una miaka 25 au zaidi na hujui kabisa nani atakuoa na hamna dalili, usichukulie poa. Lazima kutakuwa na shida...
Habari za majukumu ndugu zangu wa Tz.
Moja kwa moja kwenye mada......
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 dini yangu muislam nimeajiriwa serikalini nina mke na watoto wawili nyumbani Zanzibar.
Nimeanza...
Nadhani kila mtu anajua namna "flirting" inavyoweza kurahisisha siku au hata maisha kwa ujumla. I'ts fun, relaxing, can turn a bad day into a good one and so so.
Swali. . .utajisikiaje kumuona...
Mara nyingi wanaume tumekua tukijigamba na kujiona vidume kwa kutembea na wanawake wengi.
Ukweli uliopo ni kwamba huu si ujanja bali ni kutojitambua thamani yako na kujirahisisha. Kila mwanamke...