Kama niliyempenda kuliko chochote amenifanyia hivi, nilimwamini nilimpa moyo wangu wote naye akanionyesha mapenzi niliyodhani ni ya dhati, lakini leo hii amenisaliti, ameniacha, kweli?! Hakuna wa...
Nahitaji mwanamke wa kipemba kwa ajili ya kuoa, mie tayari nipo kwenye ndoa hivyo nahitaji ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa ya wake wengi, sifa zake
Awe mweupe sio mweusi
Awe muislam...
kuna mshkaji humu ndani namwandikia haya ayafaham vizuri maana inawezekana hajui ana deal na mtu wa namna gani. kesi zake yeye na mpenzi wake anataka hasira kuhamishia kwangu.mi pia natoa onyo...
Mara kibao tunashuhudia Wanawake wakililia fedha za wapenzi wako kwa visingizio mbalimbali ikiwemo kutaka nauli baada ya tendo ambalo wote mmeshirikiana na wote ni wanufaika
Na ni kwanini...
Habari zenu jamani,
Hii sio mara ya kwanza kuja kuleta thread hapa kuhusu hili swala langu.
Mimi ni kijana umri wangu ni 27, naishi hapa Dar es Salaam ambapo nimeajiriwa katika taasisi fulani...
Za weekend mpo?
Tujalini kitu gani kinakufanya udumu na umpendaye kwa muda mrefu.??
Nini ambacho mtu asifanye ili asimkwaze mwingine?
Nikwanini tukiwaomba pesa mnalalamika mnataka tumuombe nani...
Some years back, kuna dada nilikuwa na mahusiano naye. Alikuja kunisumbua sana, mara kupiga mizinga isiyovumilika, yaani hana huruma, mara nyingi akinipigia simu hata nikiwa sehemu yenye kelele...
Wandugu kuna jirani yangu "kamtafuna" mke wa MTU siku nne zilizopita, lkn cha ajabu mashine (dushe) yake imesimama wima tangu siku hiyo hadi leo hii na anapata maumivu ya kufa mtu. Jamaa hajaoa...
Mawasiliano/communications.
Hili ni jambo tunalolipuuzia saana tunapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi. Aidha ndoa nyingi au mahusiano mengi yamevunjika tu kwa aidha mwanandoa mmoja au wote...
Habari za jioni!
Mke wa jirani yangu ana kero sana kila Mara anataka kuangalia mizengwe sijui ishiningo Mara siri za familia sometimes mpo mezani mnakula kaja tena na wenzie.
Mumewe kaongea...
Kwema jf?,
Dah!, huyu mke wa kaka yangu wa ma Mkubwa mbona ananifanyia visa namna hii?!,
Takribani mwezi na nusu kaka kasafiri, huyu jamaa ni dereva wa Malory na safari zake mara kwa mara...
Nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa tatizo lake ana maumbile mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.
Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana, huyu anaenifurahisha...
Habari zenu wakuu humu JF,
Kwa siku nyingi sana nimekua nikikutana na nyuzi tofauti tofauti humu kuhusu watu kua na wasi wasi na afya zao mara tu baaada ya kukutana na mtu wasiejua status yake ki...
Nyie police wa Tz mnaboa na mnajitafutia laana kwa watanzania
Kwanza nikikumbuka maovu mliyonitendea Mimi na watanzania wengine mnafanya niwachukie
Nyie police wa Tanzania:-
Mwaka 2010...
Naombeni Ushauri wajameni, My wife nilitengana nae 4long now na dogo nilikuwa nae akisoma but alikuja akamuiba Chali yangu je, ni mbinu gani zaweza nisaidia alipo maana anatakiwa afike Mahakamani...
Wadau habarini
Nahitaji mdada ambaye ni graduate (zaidi fani ya ualimu) wa kuoa, awe na umri usiyopungua miaka 20 na isiyozidi miaka 25. Na awe mwenye kiu ya maisha, na nitafurahi zaidi akiwa na...
Habari za jioni!
Kuna baadhi ya wanawake kila siku gubu ukali kumfokea mumewe Mbele ya watoto mara watoto wanakwepa ngumi ya mama duu nyumba ya moto tatixo nini?
Papuchi watu wanapigana mitama...