Dada Shamimu Mlacha wa ITV

Dada Shamimu Mlacha wa ITV

Napenda sana kumwangalia hasa macho yake, ITV wangekuwa wanamweka daily kusoma taarifa za habari.
Ni hayo tu.
Tumewaza sawa, ndio maana siku akiwa anasoma taarifa ya habari Itv huwa sitamani kuondoka[emoji39] [emoji39]
 
Ilinibidi ni mfollow instagram...looh tumacho tuzuriiiiiiii.....
 
321aaffbc14f9ccd6aeffae10facfee6.jpg
 
na kuna yule Zainab Chondo alianzi ch. ten akaja ITV kisha akaenda Azam sahivi sijui kapotelea wapi nae alikua ana macho balaa
 
Hakika huyu mwanamke ni mrembo. Juzi kati nilikuwa naangalia taarifa ya habari mara pwaaaaaaaaah nikapigwa bao la mgongo na Wife, kumbe alikuwa ananiongelesha mimi akili yote iko kwa Shamim.
Rai kwa mkuu wa vipindi ITV; tafadhali naomba mumhamishe Shamim Mlacha kutoka kutangaza taarifa ya Habari na kwenda kwenye kipindi cha Watoto wetu. Ili kuokoa ndoa zetu wanaume watiifu.
 
Back
Top Bottom