Network ya kum-trace mtu anaejifanya Janjajanja

Network ya kum-trace mtu anaejifanya Janjajanja

Mr never Told

New Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
3
Reaction score
3
Naombeni Ushauri wajameni, My wife nilitengana nae 4long now na dogo nilikuwa nae akisoma but alikuja akamuiba Chali yangu je, ni mbinu gani zaweza nisaidia alipo maana anatakiwa afike Mahakamani kwa kumtorosha Mtoto shule...........Msaada wenu plz.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hayo mambo ni kwenda polisi upate barua uende kampuni ya simu watakusaidia
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Hata mie nahitaji sana kuna mutu namtafuta kazingua kwa kuondoka na mali zangu
 
Naombeni Ushauri wajameni, My wife nilitengana nae 4long now na dogo nilikuwa nae akisoma but alikuja akamuiba Chali yangu je, ni mbinu gani zaweza nisaidia alipo maana anatakiwa afike Mahakamani kwa kumtorosha Mtoto shule...........Msaada wenu plz.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app

Umeshajaribu kufika kituo cha polisi cha karibu na wewe?

Na kama aliyemuiba mtoto ni aliyekuwa mkeo je ni sahihi ku-assume kuwa unapafahamu kwa wazazi wake? Jaribu kutumia wazee muongee kwanza kistaarabu ili nyote wawili mpate fursa ya kumlea huyo mtoto. Ugomvi wenu usije kumuathiri mtoto.

Ikishindikana basi fuata ushauri wa kwanza...
 
hahahaaaa watu mnapitia mabalaa..duniani shida akhera shida ...basiii tabu tupu
 
Back
Top Bottom