Mimi ni kijana wa kiislam nimekuwa kwenye mahusiano na mwenza wangu kwa kipindi cha miaka 3. Kwa sasa tuko mbioni kukamilisha mambo yetu ya uchumba na hatimae kufunga ndoa.
Changamoto kubwa...
Habari wana jamvi,
Kwanza nitoe pole kwa wote tulio guswa na kifo cha binti yetu Aqwilina kwa sababu ya upuuzi na uzembe wa watu fulani,
Sasa nijikite kwenye mada.
binafsi nimetokewa kuvutiwa na...
Habari za weekend wapendwa,
Natumai mambo yanaenda sawa na mnapata mda wa kupumzika na familia zenu mwisho wa wiki kama huu.
Nina watoto wawili wa kiume. Wa kwanza miaka 4 na wa pili miaka 2...
Habari senyu kwa mpigo.
Kwa wale wenzangu na mimi vibonge suluhisho hili hapa. Hapa kati niliongezeka uzito kwa kiwango kikubwa sana, kasheshe ikawa ni jinsi gani nitapungua kufanya mazoezi...
Nilikuwa najiuliza sana katika nafsi yangu kwa zile familia ambazo ni mke na mume wamepanga kisha wanapata watoto na kipato cha wanafamilia wale ni kidogo na watoto wanazidi kukua,chumba ni kimoja...
Habari zenu wapendwa
Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mrefu na mimi kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa...
Mpende anaekupenda...kumpenda mtu asiependeka sawa sawa na kuuguza donda lisilo poneka bandugu..mwisho wake utakonda ukupate ugongwa usiotibika. Mpende akupendae, msije sema sijawaambia wakuu.
Habari wana JF,
Nimefunga ndoa na binti mmoja, baada ya kuwa nae kwenye mahusiano ya muda mrefu na kujaliwa mtoto mmoja nikaona ni vyema kuvuta jiko karibu ili tulee mwanetu na mambo mengine...
Hakuna kitu kigumu kama kutongoza kwa miaka ile ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kuna siku nilijipanga mapema kwenda kumtongoza binti fulani basi nikaanza kujipanga mwenyewe kwamba...
Habari wana jamvi,
Kwa mujibu wa tafiti binafsi, kuna uhusiano mkubwa kati ya self esteem{(kujiamini kwa mwanaume) na kuchepuka.
Katika mahojiano naufuatiliaji uliohusu tabia za wanaume...
habari wana jamii forum mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu anaesoma mbeya chuo fulani hivi tuna mahusiano ya muda wa miaka miwili hizi mimi nipo mkoani mtwara tatizo la mpenzi wangu huyu...
Wakuu habari za jumatatu
Kama kichwa kinavyojieleza. Hilo swali limekuja tu kichwani kwangu kwamba je huwa inakuwaje wanandoa wanapochepuka??
Je ni sahihi kweli kuchepuka huku ukiwa na pete...
Umeshawai kuota unagegeda ukiwa ktk Usingizi mzito usiku na kuachia kombora kali hadi kuchana nyavu ghafla ukazindukana na kujikuta Spam zimelowanisha boxer au bukta yako?, baada ya tukio hilo...
Habari wakuu dada zangu !
Naandika nikiwa na moyo mweupe na mapenzi ya dhati juu yenu na ntakayo yasema yanatoka kwenye uvungu wa moyo wangu kwenu na Mungu anisaidie.
Zama zimebadilika sana...
Mi nilikua ninamchumba nadhani kesi zangu zilikua nyingi mno sasa baada ya kukaa nikawa ninampotezea kidogokidogo.
Desemba tukarudiana akanipeleka kwao akanitambulisha tulikaa siku 3 tukarudi...
Salam wadau
Siku hizi harusi zimegeuka vijiwe vya uvunjifu wa maadili.Kwenye kumbi hizi kunafanyika vitendo vya kimahaba ambavyo vilitakiwa vifanyike faraghani tena mbele ya watoto na kamera na...
Mimi hii sikukuu ya valentine naomba ifutwe tu,si nilijikuta naachana na wote wawili. mipango yangu full kuvurugika na nyumba ndo kwanza iko kwenye lenta nina kibabu kilitaka nitoke nacho na...
Kama niliyempenda kuliko chochote amenifanyia hivi, nilimwamini nilimpa moyo wangu wote naye akanionyesha mapenzi niliyodhani ni ya dhati, lakini leo hii amenisaliti, ameniacha, kweli?! Hakuna wa...