kilukunyenge
Member
- Dec 21, 2016
- 20
- 16
habari wana jamii forum mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu anaesoma mbeya chuo fulani hivi tuna mahusiano ya muda wa miaka miwili hizi mimi nipo mkoani mtwara tatizo la mpenzi wangu huyu amenipigia simu na kuniambia kuwa huwa anakumbwa na tatizo la kufanya mapenzi na mtu asiye mjua wakati akiwa amelala anakuwa kama anaota anafanya mapenzi na akishuta anakuwa kama ametoka kweli kufanya mapenzi na mtu kwani anachoka sana miguu na kiuno kinamuuma na akijikagua sehemu za siri anakuta amemwagiwa manii kwenye sehemu zake za siri na tatizo limemwanza tangu alipojiunga na hicho chuo hilo tatizo limenichanganya sana ninaomba msaada sijui niachane nae tu kwani ninaweza kuletewa maradhi au akapata mimba anaomba msaada wenu kwani nimeshafikiria hadi kuachana nae