Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,352
Reaction score
4,618
Habari wana jamvi,

Kwa mujibu wa tafiti binafsi, kuna uhusiano mkubwa kati ya self esteem{(kujiamini kwa mwanaume) na kuchepuka.

Katika mahojiano naufuatiliaji uliohusu tabia za wanaume wanaochepuka na wasiochepuka. Inaonesha kuwa wanaume wanochepuka (isipokuwa wale wanaochepuka kwa sababu ya matatizo katika ndoa mfano, uchafu wa mwanamke, kiburi, kunyimwa unyumba, dharau na kukosa ufundi kitandani) huwa kiwango chao cha kujiamini na kujituma huongezeka.

Kwa mujibu wa utafiti huu wanaume wote hutamani na huweza kuchepuka na kwamba kila mwanaume huchepuka angalau mara kadhaa katika kipindi cha maisha yake. Imeonekana pia kuwa tabia hii ya kuchepuka ni silika ya kiume na kwamba mwanaume asipokuwa na silika hii huwa anakuwa na kasoro nyingine za kitabia.

Katika utafiti huo imegundulika pia kuwa, pale inapotokea mwanaume kutokuchepuka yaani seasonal faithfulness ambayo yaweza hata kuchukua miaka kadhaa basi mwanaume huonyesha tabia ambazo huwa ni kero sana kwa mwanamke kiasi kwamba huweza kumfanya mke wake kuanza tabia ya kuchepuka kutafuta wanaume wachepukaji ambao huonyeshi hadhi ya kiume zaidi kuliko wale watulivu

Imeonesha pia kuwa wanawake wengi huamini kuwa waume wao huchepuka hali ambayo huwafanya wazidi kupata msisimko na kwamba pale wanapoanza kupoteza msisimko huo basi huanza kuwadharau wanaume wao kwa sababu tu hawachapi nje.

Utafiti hupingwa kwa utafiti. Mapovu ruhusa nina nguo chafu nyingi sana
 
Sijui kama ni kweli ila muwe mnachukua warembo jamani khaaa...!!!
Mana kuna wakati ukijua kuwa msweet wako anachepuka na ukabahatika kukiona kimchep khaaa unaishia kumuonea huruma mume na mchepuko hahahaaa.....
Hasira zote zinaisha mtu unabaki kucheka tuu hahaa..
 
Zaid yenu ama?maana ukichepuka unatafuta jasho tu wala hutaki makuu
 
Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.

Simba dume mmoja anamiliki dazani ya warembo

Swala dume mmoja anamiliki majike zaidi ya mia

Beberu mmoja wa mbuzi anamiliki boma lote

Na binadamu wanaume niwanyama tu....hisia za kuchomachoma zipo sawasawia kama swala au mbuzi dume.

Relux mamii
 
Jifariji
 
Hujasema pia huongeza risk ya kudestroy families. How? Aids, Divorce....
 
Hahaha
Huo ni uchochezi Sasa
Hahaha michepuko yake kwa Kweli INA Akili sana na Busara...unaona wewe mwenyewe ulivyo!
Hata Ukienda kwa Numbisa,Salt, kiukweli jamaa anajua sana kuchagua michepuko yenye "TIJA"[emoji14]
 
Back
Top Bottom