Nimpendaye amenisaliti, sielewi nifanyeje!

Chizi karudia uchizi piga chini huyo ,kama walikutongozea ni shida kama ulijitafutia mwenyewe piga chini mara moja
 
Kunguru hafugiki, huyo anasumbuliwa na tamaa za ngono, hapo anakuomba msamaha sababu amekuona wewe ni tegemeo lake la kimaisha hapo alipo, na huyo alie nae huko yawezekana ni yeye anamtunza kwa kutumia pesa zako. La msingi huyo hata ukija nae karibu atakusaliti tu labda usipate safari ya nje.
 
Huyo mwanamke sio mwaminifu kwako atakuja kukuua kwa maradhi yasiyo na tiba,halafu hata ukimsamehe hutokuja kumuamini tena,sasa kwanini ujitese? Maisha ni mafupi sana mkuu, achana nae huyo tafuta mwingine ila jitahidi asiishi mbali nawe,najua ni ngumu kumuacha umpendae ila jipe moyo mkuu.
 
je una uwezo wa kumucha ??
kama kweli anakupenda je angeruhusu huyo mtu ashike simu yake wakati wewe unapiga ?
kiufupi huyo mwanamke hakupendi

kuchepuka ni jambo moja ila mpaka unamruhusu mtu ashike simu yako ina maana yeyote atakayepiga simu yake ruhksa kupokea hata kama ni babaake

mimi michepuko yangu nawaambia simu yangu ikiita usipokee ili kulinda meno yako
 
Sikikiza rafikiiii
Navumilia vingi vitimbiii

Moyoni bado anaishiiiii
Ila amejaa usalitiiiii

Aliondoka nikabaki pekeeee yanguuu

Huku nyuma nikalia na moyo wanguuuuuuu

Haikupita hata mwezi
Alipokosa furaha akarudiiiiii

Ameshachora natatuuuuuuu
Jina LA mpenzi wake mdanganyiiii

Lakini bado nilimpa moyo wanguuuuuuuuuuuuuu

Nikiamini kua nifunguuuuu languuuuuuuu Nilopangiwa..

Haya nimaneno ya Amin baada ya kukimbiwa na MTU wake !!... Unahisi Amini siku demu alivyorudi ,angefikiria juu ya kugegedwa mara ngapi ,Angemkubali huyu demu ?? Nakumpa nafasi ya pili?.

wakati fulan ,tunaumizwa na Watu tunaowapenda sana , ila je yale tunayoyafanya sisi nisahihi ?. Ujue nn mkuu , UMBALI UNAUA MAPENZI ,, moja ya Uzi Wangu niliandika ivi *Mwanamme usithubutu kufanya kosa hili LA Adamu* .. Adamu asingeenda mbali na Hawa , Ivi shetan angeanzia wapi ???. Umbali ,umbali Wa kimwili ,kiroho Vinaua Mapenzi.

Niivi , kumsamehe alafu akaendelea kua mbali ,ujue ataendelea kuliwa tuuu ,,, ameliwa sababu ya nyege ,ujue hawa sio km sisi wanaume ,, nyege zikiwapanda wanachohitaji ni sex tu hata km house boy , atamla tu aseee. Lkn pia bado hauwezi kua na amani juu yake .

Nini ufanye ,,, Nilazima uwekeze kile unachoweza kumudu kukipoteza ..
Unampenda una malengo naye ??? Kama ndio Msamehe lkn hakikisha unakaa naye , nakama hutokaa naye Jifanye umemwamini tu alafu Fuata kanuni za kuwasiliana nampenzi Wa mbali .

Kama huna ndoto naye Achana naye ,usijipe stress , wanawake wahivyo huwa nikumwacha mwenyewe ajue kosa lake ,mwenyewe arudiiiii , Sio wewe ndo uhangaike ,Utajikuta unakufa Mapema !!.

Mwisho wenda unampenda au humpendi , lazima umwonyeshe kua umechukuzwa na kitendo chake tena umuonyeshe kwa vitendo ndo atajifunza usifanye kosa la kumsamehe within 48 hrs na ukitaka kumunyoosha , tengeneza mazingira ya kuonekana hujawahi msamehe ,nasiku utakayoona sasa anafaa kusameheka utamsamehe.

Mimi bado naendelea kujifunza kupitia kwenu sijaoa !!.
 
Kiukweli huyo mwanamke hakupendi kabisa, na anakutumia tu wewe kama kitega uchumi ingekuwa amechepuka mara moja kwa siri ili kupunguza genye, huyo mwanaume asingekuwa anajulikana hapo nyumbani(Mtaani) kuwa ndio anamiliki huo mzigo.

Seems like ndio tabia yake jamaa alikuwa anakula muda wote anaojisikia maana kama ingekuwa kuchepuka angefanya siri hata majirani wasimuone jamaa akiingia ili tu kulinda heshima yake, but hakufanya hivyo.

Ushauri wangu, achana na huyo mwanamke, atakuja kukuumiza Zaidi mbeleni, why asiendelee na huyo mwanaume wake aliyepokea simu usiku ila na sisi wanawake sometimes tunashindwa kula na kipofu. Shabassshhhhh
 
Vijana mna kazi ya ziada tafuta mwanamke oa uishi nae mjenge familia iliyo imara, achana na hizo habari za vidampa sijui viko mgodini wapi huko ww upo unahudumia tu hata hueleweki.

Kama mwanaume kuna wakati unatakiwa kujitambua ufanye mambo ya msingi kwa maisha yako na familia yako mwanamke anaekupenda kwanza hawezi kumvulia chuppi mwanaume mwingine akapanua miguu yake akakubali kutiwa hovyo hovyo tu.

Hapo keshakuona wewe mbwiga tu sema unajua sana kutoa matunzo na kuwezesha maisha yake na ndio sababu anakuomba sana msiachane lakini ukweli ni kwamba hata ukikubali aje muishi wote huko ulipo tabia hiyo hatoiacha ataendelea kugongwa tu kama hana akili nzuri vile. Mambo mengine hutokea ili iwe funzo kwa mtu.

Imagine simu kaipokea mwanaume mwenzio na si ajabu kakesha kinenani mwa mwanamke unaedai mpenzio wanatusuana mwanzo mwisho na mitusi juu yako - kitanda umewanunulia na si ajabu unawalisha pia shtuka mwanaume ohoooo!
 
Kama hujaoa mwache kabisa. Huo utakua ndo mchezo wake.
 
Hizi case mbona sizipatagi aisee,yaani mwanamke wangu atolewe mbwa bandani na nijue kisha aniambie "samahani mpenzi ni kweli ila ni shetani tu alinipitia naapa sitorudia tena naomba unisamehe tuishi kama zamani"

Yaani wakati yupo katikati ya hiyo sentence tayari takataka zake zipo mlangoni bajaj sijui Pick up nje nishaita wanapakia zaga zake hao wa mikoani ndiyo kabisa hata simu yenyewe nai-block .

shida vijana wa kisasa mnalia lia sana na wepesi kununulia wanawake vitu vya ndani wewe kinachokuumiza akili ni hiko kitanda na godoro ulichomnunulia kama sio hivyo ungekuwa normal tu.
 
Huyo muache tu ashanogewa kwa huyo mshkaji mwingine
 
Sikikiza rafikiiii
Navumilia vingi vitimbiii

Moyoni bado anaishiiiii
Ila amejaa usalitiiiii

Aliondoka nikabaki pekeeee yanguuu

Huku nyuma nikalia na moyo wanguuuuuuu

Haikupita hata mwezi
Alipokosa furaha akarudiiiiii

Ameshachora natatuuuuuuu
Jina LA mpenzi wake mdanganyiiii

Lakini bado nilimpa moyo wanguuuuuuuuuuuuuu

Nikiamini kua nifunguuuuu languuuuuuuu Nilopangiwa..

Haya nimaneno ya Amin baada ya kukimbiwa na MTU wake !!... Unahisi Amini siku demu alivyorudi ,angefikiria juu ya kugegedwa mara ngapi ,Angemkubali huyu demu ?? Nakumpa nafasi ya pili?.

wakati fulan ,tunaumizwa na Watu tunaowapenda sana , ila je yale tunayoyafanya sisi nisahihi ?. Ujue nn mkuu , UMBALI UNAUA MAPENZI ,, moja ya Uzi Wangu niliandika ivi *Mwanamme usithubutu kufanya kosa hili LA Adamu* .. Adamu asingeenda mbali na Hawa , Ivi shetan angeanzia wapi ???. Umbali ,umbali Wa kimwili ,kiroho Vinaua Mapenzi.

Niivi , kumsamehe alafu akaendelea kua mbali ,ujue ataendelea kuliwa tuuu ,,, ameliwa sababu ya nyege ,ujue hawa sio km sisi wanaume ,, nyege zikiwapanda wanachohitaji ni sex tu hata km house boy , atamla tu aseee. Lkn pia bado hauwezi kua na amani juu yake .

Nini ufanye ,,, Nilazima uwekeze kile unachoweza kumudu kukipoteza ..
Unampenda una malengo naye ??? Kama ndio Msamehe lkn hakikisha unakaa naye , nakama hutokaa naye Jifanye umemwamini tu alafu Fuata kanuni za kuwasiliana nampenzi Wa mbali .

Kama huna ndoto naye Achana naye ,usijipe stress , wanawake wahivyo huwa nikumwacha mwenyewe ajue kosa lake ,mwenyewe arudiiiii , Sio wewe ndo uhangaike ,Utajikuta unakufa Mapema !!.

Mwisho wenda unampenda au humpendi , lazima umwonyeshe kua umechukuzwa na kitendo chake tena umuonyeshe kwa vitendo ndo atajifunza usifanye kosa la kumsamehe within 48 hrs na ukitaka kumunyoosha , tengeneza mazingira ya kuonekana hujawahi msamehe ,nasiku utakayoona sasa anafaa kusameheka utamsamehe.

Mimi bado naendelea kujifunza kupitia kwenu sijaoa !!.
Ushauri mzuri
 
Vijana mna kazi ya ziada tafuta mwanamke oa uishi nae mjenge familia iliyo imara, achana na hizo habari za vidampa sijui viko mgodini wapi huko ww upo unahudumia tu hata hueleweki.

Kama mwanaume kuna wakati unatakiwa kujitambua ufanye mambo ya msingi kwa maisha yako na familia yako mwanamke anaekupenda kwanza hawezi kumvulia chuppi mwanaume mwingine akapanua miguu yake akakubali kutiwa hovyo hovyo tu.

Hapo keshakuona wewe mbwiga tu sema unajua sana kutoa matunzo na kuwezesha maisha yake na ndio sababu anakuomba sana msiachane lakini ukweli ni kwamba hata ukikubali aje muishi wote huko ulipo tabia hiyo hatoiacha ataendelea kugongwa tu kama hana akili nzuri vile. Mambo mengine hutokea ili iwe funzo kwa mtu.

Imagine simu kaipokea mwanaume mwenzio na si ajabu kakesha kinenani mwa mwanamke unaedai mpenzio wanatusuana mwanzo mwisho na mitusi juu yako - kitanda umewanunulia na si ajabu unawalisha pia shtuka mwanaume ohoooo!
Haya mambo ya kuhudumia mtu hata hujachumbia kisa mpenzi si mazuri kabisa.
 
HAHAAAA DEMU AMEKUGEUZA MBACHAO HUYO NA HUYO JAMAA ALIYEPOKEA CM NIMSALA UPITAO SEMA NI MSALA UPITAO ULIOFANIKIWA KUMSHIKA MASKIO DEMU WAKO NDIO MAANA DEMU HATAKI UMUACHE KWAKUWA ANAJUA KUWA ANAKUCHUNA...KWANZA UNAANZA VIPI KUMUHUDUMIA MWANAMKE ALIYE MBALI NA WEWE TENA UMBALI WA MKOA ..DAAHH AISEEE MNAROHO NGUMU...ACHENI YA WAFIKE TU
 
Back
Top Bottom