Kuna vidume havitongozewi, hupenda kuwinda kama simba

Kuna vidume havitongozewi, hupenda kuwinda kama simba

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
10,740
Reaction score
19,641
Ni kama ma predator, yaani wanyama wawindao kama vile simba, ambao hawali mizoga au wanyama waliokufa wenyewe au kuuliwa katika mazingira wasio yajua, bali hufurahia sana wanyama wanaowawinda na kisha kuwauwa wenyewe kwa mikono,kucha na meno yao.

Basi kuna wanaume wako namna hiyo, kitendo cha kuletewa mwanamke akiwa tayari kwa kugegedwa bila kua wamehusika kwa namna yoyote katika mtongozo wa awali wao hua ina wa off na kuwakata stim kabisaaa! Anaweza akalala chumba kimoja na mwanamke aliyeletewa au kutongozewa na mtu mwingine usiku kucha na asimfanye lolote, labda, narudia tena labda awe na 'genye' kupitiliza

Hii lakini haijumlishi wale wanojipeleka wenyewe. Anaejitongozesha ataimbishwa kidogo then ataliwa, lakini kazi sio ifanywe na mwanaume au hata mwanamke mwingine halafu yeye umletee ready made nyama....haimpi fantasy yoyote....bilashaka humu MMU kuna wachache katika kundi hili la Predetors, kwa harakaharaka Gudume ni miongoni mwao
 
Kabla ya kuandika hii kitu

WHAT WAS THE GOOD STUFF YOU WERE ON YOU CRAZY ASS NICCA
 
Kabla ya kuandika hii kitu

WHAT WAS THE GOOD STUFF YOU WERE ON YOU CRAZY ASS NICCA
Kesho tuna safari ya morogoro socially, jamaa yangu kanipigia simu anasema kuna dem kanitongozea twende nae, I politely told him that's too low for me guy, sijawahi kula mizoga since time immemorial, nikamkumbusha who I really m...Predetor in the real sense of the word, so I just wanted to share it with budy, any worng with it?
 
Ni kama ma predator, yaani wanyama wawindao kama vile simba, ambao hawali mizoga au wanyama waliokufa wenyewe au kuuliwa katika mazingira wasio yajua, bali hufurahia sana wanyama wanaowawinda na kisha kuwauwa wenyewe kwa mikono, kucha na meno yao.

Wanyama wote walao nyama kasoro DUMA tu, hula mizoga. Rudi tena shambani (field) ukapate taarifa sahihi.

Kwa sababu mfano ni mfu na hata taarifa ni urongo mtupu

Bazazi ni Bazazi
 
Wanyama wote walao nyama kasoro DUMA tu, hula mizoga. Rudi tena shambani (field) ukapate taarifa sahihi.

Kwa sababu mfano ni mfu na hata taarifa ni urongo mtupu

Bazazi ni Bazazi
Babu elewa kwanza mfano? Taarifa yangu ni 'IF OTHER FACTORS REMAIN CONSTANT'. samba hula mzoga akizidiwa mkuu
 
M
Usishadidie mambo usiyoyajua Bro. Simba hula mizoga. Mnyama alae nyama asiyekula mizoga ni DUMA.

Namaanisha Mkuu
Mkuu nikiri kua hilo la simba kua anakula mizoga sina ujuzi nalo kwakweli, ila nilichokusudia katika bandiko langu ni predators kama huyo Duma unaemsema, though seriously nilikua naamini simba hula kile tu alichokiwinda na ndio aina ya wanaume nuliokua nawazungumzia, sory for any inconveniences caused. Basi Duma ndie mwindaji wa kweli
 
Kesho tuna safari ya morogoro socially, jamaa yangu kanipigia simu anasema kuna dem kanitongozea twende nae, I politely told him that's too low for me guy, sijawahi kula mizoga since time immemorial, nikamkumbusha who I really m...Predetor in the real sense of the word, so I just wanted to share it with budy, any worng with it?
No just thought you were high or something
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom